Ulivyosema haujasoma tu nimekuelewaSijasoma andiko lote lakini heading inaonyesha wazi kichwani kwako Kuna uchafuView attachment 3507013
Yeye anafaidika nann Kwa Watanzania Kuandamana?.Imeshazungumzwa sana makosa yaliyofanyika kwa upande wa mamlaka, lakini ni vyema tukageuza upande wa pili wa shilingi.
Kwa nini nasema mange hathamini uhai wa watanzania bali anajithamini yeye tu uhai wake?
Gwajima alipokuwa anakemea utekaji alitolea mifano kwa watoto wa viongozi akimaanisha kwamba Uhai wa mtu yeyote una thamani bila kujali ana nafasi gani,hata mange anaungs moono jambo hili.
Kama Uhai wa watu wote sawa bila kujali nafasi ya mtu mbona mange kimambi alijificha kwenye gari marekani kwenye maandamano ya daispora akiogopa kudhurika, lakini mange huyu huyu anawaambia watanzania wasijifiche watoke nje waandamane?
Kwa nini asiwape strategy yake aliyoitumia marekani ya kukaa kwemye gari au ndani ili asidhurike abaki hai?
Mbona watanzania anawaambia watoke nje wakaandamane, je hathamini uhai wa watanzania ndio maana anawashauri mambo ambayo yeye hayafanyi?
Uhai wa mange, uhai wa gwajima,uhai wa mtoto wa kiongozi yeyote ni sawa hakuna mwenye haki ya kuishi kuliko mwenzie.
Hivyo mange kama ambavyo yeye alifanya kila namna(kujificha)ili abaki kuwa hai basi ilitakiwa awape nammna hizo watanzania ili na wao wabaki kuwa hai.
Kwa akili yako finyu (kama kweli unayo) unadhani Watanzania wanaingia barabarani kumfurahisha Mange!? Au uandhani bila Mange wasingeingia barabarani? Kwa haya yanayoendelea ilikuwa ni suala la muda tu watu wangeingia barabafani. Issue ya kufa hata ambao hawakuandamana waliuliwa so hizo lawama unazompelekea Mange ungzipeleka kwa Mabwana zako wanaokulipa vijisenti uje hapa jukwaani kuwatetea! Unamlaumu anayehamasisha maandamano ya kupinga utekaji na mauaji alafu u amuacha muuaji!? Huna akili kabisaImeshazungumzwa sana makosa yaliyofanyika kwa upande wa mamlaka, lakini ni vyema tukageuza upande wa pili wa shilingi.
Kwa nini nasema mange hathamini uhai wa watanzania bali anajithamini yeye tu uhai wake?
Gwajima alipokuwa anakemea utekaji alitolea mifano kwa watoto wa viongozi akimaanisha kwamba Uhai wa mtu yeyote una thamani bila kujali ana nafasi gani,hata mange anaungs moono jambo hili.
Kama Uhai wa watu wote sawa bila kujali nafasi ya mtu mbona mange kimambi alijificha kwenye gari marekani kwenye maandamano ya daispora akiogopa kudhurika, lakini mange huyu huyu anawaambia watanzania wasijifiche watoke nje waandamane?
Kwa nini asiwape strategy yake aliyoitumia marekani ya kukaa kwemye gari au ndani ili asidhurike abaki hai?
Mbona watanzania anawaambia watoke nje wakaandamane, je hathamini uhai wa watanzania ndio maana anawashauri mambo ambayo yeye hayafanyi?
Uhai wa mange, uhai wa gwajima,uhai wa mtoto wa kiongozi yeyote ni sawa hakuna mwenye haki ya kuishi kuliko mwenzie.
Hivyo mange kama ambavyo yeye alifanya kila namna(kujificha)ili abaki kuwa hai basi ilitakiwa awape nammna hizo watanzania ili na wao wabaki kuwa hai.
watu wanaandama kudai haki ya kuishi ,katiba mpya na mengine mengi...habri za mange unazijua wewe na CCM YenuImeshazungumzwa sana makosa yaliyofanyika kwa upande wa mamlaka, lakini ni vyema tukageuza upande wa pili wa shilingi.
Kwa nini nasema mange hathamini uhai wa watanzania bali anajithamini yeye tu uhai wake?
Gwajima alipokuwa anakemea utekaji alitolea mifano kwa watoto wa viongozi akimaanisha kwamba Uhai wa mtu yeyote una thamani bila kujali ana nafasi gani,hata mange anaungs moono jambo hili.
Kama Uhai wa watu wote sawa bila kujali nafasi ya mtu mbona mange kimambi alijificha kwenye gari marekani kwenye maandamano ya daispora akiogopa kudhurika, lakini mange huyu huyu anawaambia watanzania wasijifiche watoke nje waandamane?
Kwa nini asiwape strategy yake aliyoitumia marekani ya kukaa kwemye gari au ndani ili asidhurike abaki hai?
Mbona watanzania anawaambia watoke nje wakaandamane, je hathamini uhai wa watanzania ndio maana anawashauri mambo ambayo yeye hayafanyi?
Uhai wa mange, uhai wa gwajima,uhai wa mtoto wa kiongozi yeyote ni sawa hakuna mwenye haki ya kuishi kuliko mwenzie.
Hivyo mange kama ambavyo yeye alifanya kila namna(kujificha)ili abaki kuwa hai basi ilitakiwa awape nammna hizo watanzania ili na wao wabaki kuwa hai.
Hakuna aliyesema hivyo.Kwa akili yako finyu (kama kweli unayo) unadhani Watanzania wanaingia barabarani kumfurahisha Mange!?
uhakika uliokuwepo ni kwamba Mnage nddio kahamasisha kwa kiasi kikubwa waingie barabarani.Au uandhani bila Mange wasingeingia barabarani?
Ni kweli lakini hii haifanyi tusimjadili mange kwa sababu tunataka kuepuka yajayo yasiwe kama yaliyopita, lazima tuangalie na upande wake pia.Issue ya kufa hata ambao hawakuandamana waliuliwa
Ina maana Na wewe mange anakulipa ili umtetee hapa?hizo lawama unazompelekea Mange ungzipeleka kwa Mabwana zako wanaokulipa vijisenti uje hapa jukwaani kuwatetea!
Hata walioua tunawalaumu na tumewalaumu sana na kila mtu analaumu sana.Unamlaumu anayehamasisha maandamano ya kupinga utekaji na mauaji alafu u amuacha muuaji!?
Mange kimambi na yeye lazima alaumiwe kwa udanganyifu mkubwa alioufanya.Unamlaumu anayehamasisha maandamano ya kupinga utekaji na mauaji alafu u amuacha muuaji!? H
Ila mkuu sidhani kama wenye mamlaka wanafanya sahihi kuondoa uhai wa waandamanaji,.. Kwanini wasisikilize raia wao wanadai vitu gani? na kwanini wasitumie njia sahihi za kudhibiti kuliko kuwaua kwa maksudi,? kumbuka hakuna sheria inayohalalisha kuua kisa tu watu wameandamana labda itokee na raia nao wana silaha Polisi wanaweza kujitetea kwa kuua,..Imeshazungumzwa sana makosa yaliyofanyika kwa upande wa mamlaka, lakini ni vyema tukageuza upande wa pili wa shilingi.
Kwa nini nasema mange hathamini uhai wa watanzania bali anajithamini yeye tu uhai wake?
Gwajima alipokuwa anakemea utekaji alitolea mifano kwa watoto wa viongozi akimaanisha kwamba Uhai wa mtu yeyote una thamani bila kujali ana nafasi gani,hata mange anaungs moono jambo hili.
Kama Uhai wa watu wote sawa bila kujali nafasi ya mtu mbona mange kimambi alijificha kwenye gari marekani kwenye maandamano ya daispora akiogopa kudhurika, lakini mange huyu huyu anawaambia watanzania wasijifiche watoke nje waandamane?
Kwa nini asiwape strategy yake aliyoitumia marekani ya kukaa kwemye gari au ndani ili asidhurike abaki hai?
Mbona watanzania anawaambia watoke nje wakaandamane, je hathamini uhai wa watanzania ndio maana anawashauri mambo ambayo yeye hayafanyi?
Uhai wa mange, uhai wa gwajima,uhai wa mtoto wa kiongozi yeyote ni sawa hakuna mwenye haki ya kuishi kuliko mwenzie.
Hivyo mange kama ambavyo yeye alifanya kila namna(kujificha)ili abaki kuwa hai basi ilitakiwa awape nammna hizo watanzania ili na wao wabaki kuwa hai.
Hata mimi sioni usahihi wa hilo mkuu, ila wao wasipokuwa sahihi haina maana na sisi tufanye yasiyokuwa sahihi hasa hasa kama hayo yasiyokuwa sahihi hayawezi kuleta mwisho mzuri.Ila mkuu sidhani kama wenye mamlaka wanafanya sahihi kuondoa uhai wa waandamana
Hili ndilo viongozi wanatakiwa wafanye, nimeona juzi Raisi amesema atasikiliza vijana wanadai haki gani, huwenda ni katika kuelekea kueasikiliza.Kwanini wasisikilize raia wao wanadai vitu gani?
Na mimi najiuliza kama wewe sijapata majibu.na kwanini wasitumie njia sahihi za kudhibiti
Nakubaliana na wewe mkuu moja kwa moja,ila kwa upande wa waandamanaji kuna mistake walifanya ambazo sisemi kama zilihalalisha wao kuuliwa hapana.kumbuka hakuna sheria inayohalalisha kuua kisa tu watu wameandamana labda itokee na raia nao wana silaha Polisi wanaweza kujitetea kwa kuua,..
Naam nakubslisna na wewe, ni vyema tukasikilizana ili kuondoka kwenye hsya majanga.Raia kuuwawa kwa style ile sio kitu sahihi na kila mwenye utu anapaswa kukemea au atleast kuumia kwa nafasi yake,.. Ni wazi kwamba nchi yetu ipo kwenye nyakati mbaya na njia pekee ya kurudi kwenye hali ya utulivu ni viongozi na raia kwa pamoja kusikilizana, kama Serikali ikiendelea kutumia nguvu kubwa kuliko akili na busara tutaelekea pabaya zaidi,..
Kwa hiyo wale waliouwawa kwako. Wewe u ni sawa kwa sababu ni mchakato wa kutafuta mabadiliko.hakuna mabadiliko yanaweza kuja bila kumwaga damu