Viongozi wa Afrika hawaskii mpaka mauaji yawepo ndo akili kidogo huwarejeaKwa hiyo wale waliouwawa kwako. Wewe u ni sawa kwa sababu ni mchakato wa kutafuta mabadiliko.
Kama ni sawa maana yake sisi tunaopiga kelele kuhusu mauwaji hatujui kama ule ulikuwa ni mchakato wa kuyaendea mabadiliko.
Kama wewe unaona hivyo maana yake pia unaona ni sawa watu waliokufa
Kwa kutumia lugha ya kigeni, " If you can't use your brain properly, others will use your brain for their own benefits". Kwahiyo Dada wa Marekani ameona fursa ya kutokutumia akili vizuri kwa vijana wengi wa Tanzania, ameamua kutumia akili zao kwa faida anayoiona yeye na wenzie. Kabla hujafanya jambo lolote unatakiwa kufanya uchambuzi yakinifu kwa kuangalia faida na hasara, ukiona faida ni kubwa kuliko hasara nenda nalo ikiwa kinyume chake achana nalo. Sasa swali la msingi ulifanyika uchambuzi huo kwa vijana walio wengi? au ndiyo ilikuwa mob psychology, wakaamua kufata mkumbo tu. Akili za kuambiwa changanya na zako.🙏Imeshazungumzwa sana makosa yaliyofanyika kwa upande wa mamlaka, lakini ni vyema tukageuza upande wa pili wa shilingi.
Kwa nini nasema mange hathamini uhai wa watanzania bali anajithamini yeye tu uhai wake?
Gwajima alipokuwa anakemea utekaji alitolea mifano kwa watoto wa viongozi akimaanisha kwamba Uhai wa mtu yeyote una thamani bila kujali ana nafasi gani,hata mange anaungs moono jambo hili.
Kama Uhai wa watu wote sawa bila kujali nafasi ya mtu mbona mange kimambi alijificha kwenye gari marekani kwenye maandamano ya daispora akiogopa kudhurika, lakini mange huyu huyu anawaambia watanzania wasijifiche watoke nje waandamane?
Kwa nini asiwape strategy yake aliyoitumia marekani ya kukaa kwemye gari au ndani ili asidhurike abaki hai?
Mbona watanzania anawaambia watoke nje wakaandamane, je hathamini uhai wa watanzania ndio maana anawashauri mambo ambayo yeye hayafanyi?
Uhai wa mange, uhai wa gwajima,uhai wa mtoto wa kiongozi yeyote ni sawa hakuna mwenye haki ya kuishi kuliko mwenzie.
Hivyo mange kama ambavyo yeye alifanya kila namna(kujificha)ili abaki kuwa hai basi ilitakiwa awape nammna hizo watanzania ili na wao wabaki kuwa hai.
Wacha upotoshaji,Kwa nini anashawishi watu waandamane huku yeye anajificha kwenye gari kwa kuogopa kudhirika?
Mimi natoa maoni yangu tu kama ambavyo wao wanatoa maoni yao kupitia platform hizi.Acha watu wafanye maamuzi kulingana na uwezo wao wa kufikiri, usiwapangie.
Hiyo unahitimisha wewe kwa mujibu wa ulivyoelewa.Kwa hiyo source ya yanayoendelea hapa nchini ni Mange?
Kska ni kweli vijana wengi hawakufanya uchambuzi yakinifu,na tunasikia sana kwamba watanzania wengi hatuns uwezo wa kufanya uchambuzi yskinifu.Sasa swali la msingi ulifanyika uchambuzi huo kwa vijana walio wengi?
Hiki ndicho kiliwaponza watanzania wengi,wanashindwa kupima maslahi na maafa waangalie wapi pabaya.au ndiyo ilikuwa mob psychology, wakaamua kufata mkumbo tu. Akili za kuambiwa changanya na zako.🙏
1.kudanganya jeshi lipo nyums ya raia wakati yeye sio msemaji wa jeshi.
Huoni kama hii ni kauli ya kipuuuzi na mange lazima alaumiwe?
Raisi ateua tume ya uchaguzi halafu Raisi huyo huyo anagombea uraisi tume iliyoteuliwa na Raisi yamtangaza Raisi kuwa mshindi wa uraisi......Sio kweli.
Kuna haki zipo na kuna haki zinadaiwa,haki zinazodaiwa zisikufanye uzikanushe haki unazozipata.
Imeshazungumzwa sana makosa yaliyofanyika kwa upande wa mamlaka, lakini ni vyema tukageuza upande wa pili wa shilingi.
Kwa nini nasema mange hathamini uhai wa watanzania bali anajithamini yeye tu uhai wake?
Gwajima alipokuwa anakemea utekaji alitolea mifano kwa watoto wa viongozi akimaanisha kwamba Uhai wa mtu yeyote una thamani bila kujali ana nafasi gani,hata mange anaungs moono jambo hili.
Kama Uhai wa watu wote sawa bila kujali nafasi ya mtu mbona mange kimambi alijificha kwenye gari marekani kwenye maandamano ya daispora akiogopa kudhurika, lakini mange huyu huyu anawaambia watanzania wasijifiche watoke nje waandamane?
Kwa nini asiwape strategy yake aliyoitumia marekani ya kukaa kwemye gari au ndani ili asidhurike abaki hai?
Mbona watanzania anawaambia watoke nje wakaandamane, je hathamini uhai wa watanzania ndio maana anawashauri mambo ambayo yeye hayafanyi?
Uhai wa mange, uhai wa gwajima,uhai wa mtoto wa kiongozi yeyote ni sawa hakuna mwenye haki ya kuishi kuliko mwenzie.
Hivyo mange kama ambavyo yeye alifanya kila namna(kujificha)ili abaki kuwa hai basi ilitakiwa awape nammna hizo watanzania ili na wao wabaki kuwa hai.
Sasa ipo hivi ni mara chache sana hutokea kwa maandamano kufanyika huku kukiwa na support ya Serikali na Vyombo vya usalama kwasababu wananchi wanachukulia mihimili hiyo kama watuhumiwa wa mambo kutokwenda sawa,.. yaani makundi ya waandamanaji huwa wanafikisha ujumbe kwenda kwa Serikali,. ukizingatia na vyombo vya usalama vipo chini ya serikali sasa sio rahisi kwa serikali zetu hizi kutoa amri kwa Vyombo vya usalama viruhusu na visimamie maandamano kufanyika,.. na ndiyo maana maandamano mengi duniani huwa yanafanyika bila ruhusa kutoka kwa wenye mamlaka.Hata mimi sioni usahihi wa hilo mkuu, ila wao wasipokuwa sahihi haina maana na sisi tufanye yasiyokuwa sahihi hasa hasa kama hayo yasiyokuwa sahihi hayawezi kuleta mwisho mzuri.
Hili ndilo viongozi wanatakiwa wafanye, nimeona juzi Raisi amesema atasikiliza vijana wanadai haki gani, huwenda ni katika kuelekea kueasikiliza.
Na mimi najiuliza kama wewe sijapata majibu.
Nakubaliana na wewe mkuu moja kwa moja,ila kwa upande wa waandamanaji kuna mistake walifanya ambazo sisemi kama zilihalalisha wao kuuliwa hapana.
Hizo mistake ndio nazizungumzia mimi haoana mkuu, haina maana kwamba nakubali vifo vile hapana.
Naam nakubslisna na wewe, ni vyema tukasikilizana ili kuondoka kwenye hsya majanga.
Ila kupanga maandamano ambayo hayana polisi lazima vurugu zitokee kwa sababu kuna wahalifu wengi watapitia huo mlango.
Hata kama Raia wataona polisi wamekataa watu kuandamana basi raia wasithubutu kuandamana bila polisi kwa sababu ya usalama wao waa ndamanai fhidi ya wahalifu wanaojificha humo
Hapa nilivyokuelewa ni kwamba kwa kuwa raia hawana nguvu za kupambana na polisi au vyombo vya usalama kwa ujumla ni bora wakubaliane na mambo yalivyo ili wawe salama,. si ndiyo? kwamba lolote litakalotokea watu wakae kimya ili wawe salama,..Hata kama Raia wataona polisi wamekataa watu kuandamana basi raia wasithubutu kuandamana bila polisi kwa sababu ya usalama wao waa ndamanai fhidi ya wahalifu wanaojificha humo
Hata kipindi ukoloni umeenea Afrika watu wangefikiria faida na hasara za kupinga mambo waliyokua wanafanyiwa huenda wasingekubali wafe ili tu uhuru upatikane,... ndiyo maana narudia Binadamu ni kiumbe ambae ili umuongoze vizuri hakikisha unajiimarisha kiakili na si kutumia nguvu nyiingi maana kuna muda watu huona uhai hauna thamani iwapo mambo ambayo hawakubaliani nayo yanaendelea kufanyika...Kwa kutumia lugha ya kigeni, " If you can't use your brain properly, others will use your brain for their own benefits". Kwahiyo Dada wa Marekani ameona fursa ya kutokutumia akili vizuri kwa vijana wengi wa Tanzania, ameamua kutumia akili zao kwa faida anayoiona yeye na wenzie. Kabla hujafanya jambo lolote unatakiwa kufanya uchambuzi yakinifu kwa kuangalia faida na hasara, ukiona faida ni kubwa kuliko hasara nenda nalo ikiwa kinyume chake achana nalo. Sasa swali la msingi ulifanyika uchambuzi huo kwa vijana walio wengi? au ndiyo ilikuwa mob psychology, wakaamua kufata mkumbo tu. Akili za kuambiwa changanya na zako.🙏
Tofauti ni kwamba zama hizi teknolojia imekua, ukifanya kama kilichofanyika 2001 Dunia itajua kwa haraka na kwa ukubwa kiasi ambacho watu watakukalia kooni hata ladha ya uongozi unaweza usiione,.. utashindwa kulala chini ya Mti kwa amani bila khofu kama Umar Bin Khatwab...Mwaka 2001 mauwaji ya pemba kiomgozi gani alisikia?
bado HUJASEMA, tulia kwanza ICC waanze kazi yao!Imeshazungumzwa sana makosa yaliyofanyika kwa upande wa mamlaka, lakini ni vyema tukageuza upande wa pili wa shilingi.
Kwa nini nasema mange hathamini uhai wa watanzania bali anajithamini yeye tu uhai wake?
Gwajima alipokuwa anakemea utekaji alitolea mifano kwa watoto wa viongozi akimaanisha kwamba Uhai wa mtu yeyote una thamani bila kujali ana nafasi gani,hata mange anaungs moono jambo hili.
Kama Uhai wa watu wote sawa bila kujali nafasi ya mtu mbona mange kimambi alijificha kwenye gari marekani kwenye maandamano ya daispora akiogopa kudhurika, lakini mange huyu huyu anawaambia watanzania wasijifiche watoke nje waandamane?
Kwa nini asiwape strategy yake aliyoitumia marekani ya kukaa kwemye gari au ndani ili asidhurike abaki hai?
Mbona watanzania anawaambia watoke nje wakaandamane, je hathamini uhai wa watanzania ndio maana anawashauri mambo ambayo yeye hayafanyi?
Uhai wa mange, uhai wa gwajima,uhai wa mtoto wa kiongozi yeyote ni sawa hakuna mwenye haki ya kuishi kuliko mwenzie.
Hivyo mange kama ambavyo yeye alifanya kila namna(kujificha)ili abaki kuwa hai basi ilitakiwa awape nammna hizo watanzania ili na wao wabaki kuwa hai.
Kwa hiyo aliye na huruma ni anayeua? Kwani Mange kawashikisha bunduki hao polisi na wanajeshi?Imeshazungumzwa sana makosa yaliyofanyika kwa upande wa mamlaka, lakini ni vyema tukageuza upande wa pili wa shilingi.