Mange Kimambi naye hana huruma na uhai wa Watanzania

unamaanisha tunaongozwa na vichaa ? ndio maana unaona wao sahihi kumpiga mtu risasi ila sio sahihi kwa Mange kukemea maovu ya watumishi wa umma ?
 
ww ni shogah mtupu , haya yanayoendelea Tz ni ya kukalia kimya ? au ww ni miongon mwa wauaji na wafujaji wa mali za nchi
 
ndio maana unaona wao sahihi kumpiga mtu risasi
Hakuna sehemu nimeona sahihi mtu kuuwawa,unaweza ukatulia vyema na kujaribu kuelewa msingi wa hoja yangu..

Mangs kimambi sio mtume, kama ambavyo haikuwa sahihi kuuwa watu, na yeye haikuwa sahihi kuwashawishi watu waingie mfomo wa mambo huku akijua hilo...

Swali langu..
Hoja ni kwa nini mange kimambi anawashawishi watu wakaandamane huku akijua watapata madhara?
 
Swali langu..
Hoja ni kwa nini mange kimambi anawashawishi watu wakaandamane huku akijua watapata madhara?
Je, asipowashawishi.... yale ambayo jamii inaona hayaendi sawa yataisha au yataendelea kufanyika? Na kama yataendelea kufanyika njia gani isiyo na madhara unashauri itumike kuondoa changamoto zilizopo ili kila mmoja aishi kwa amani na haki za msingi?
 
HIlo swali ungeuliza serikali. Kwa nini wanatumia silaha za moto?

Kama njia ya mazungumzo imeshindwa ulitaka watu wafanyaje?
 
kipaombele chako ni watu wakae ndan wauluwe kama kuku , watekwe kama nyumbu na wafirw km ndo fantasy yao

Hii si ndo hoja yakp ?

Maana kwako Huez wakumbusha serikali kuacha utekaj , uuawi na kuwapiga risas waandamanaj
 
Sawa mange akemewe, Je watawala wasishauriwe kuacha utekaji na mauwaji halaiki ya raia?
 
Sawa mange akemewe, Je watawala wasishauriwe kuacha utekaji na mauwaji halaiki ya raia?
Lazima nao washauriwe mkuu.
Hao huwezi kuwaacha kwa sababu ni upande mmoja unaosababisha tatizo kwa % kubwa
 
Sio kweli.

Kuna haki zipo na kuna haki zinadaiwa,haki zinazodaiwa zisikufanye uzikanushe haki unazozipata.

Kama umetumwa na Samia Suluhu mwambie tutaonana D9 mamamae
 
Lazima nao washauriwe mkuu.
Hao huwezi kuwaacha kwa sababu ni upande mmoja unaosababisha tatizo kwa % kubwa
Kwahiyo tatizo kubwa lipo upande upi? Mange? raia? Au watawala?
 
Kwahiyo tatizo kubwa lipo upande upi? Mange? raia? Au watawala?
Mamlaka ni tatizo kubwa ambalo sote tunalipigia kelele.

Ila huku tunalipihia kelele tatizo kubwa ni vyema tukaendelea kusolve na haya madogo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…