Mange Kimambi: Paula Kajala hajaenda Uturuki kusoma, anafanya kazi Airbnb

Hakuna dada wataifa dada gani ambaye aliandaa mgomo halafu hajatokea mtu ambaye anaitwa dada wataifa anapigania what's is right for her nation watu wamekufa kisa kupigania nchi zao mfano hai ni south afrika.
Jingine ache maisha ya watu kwani wenye elimu ya juu ndio nini?
 
Daah mange noma, Kuna ishu ya water-zo, B kumi na mbili na andunje ni nomaz[emoji119][emoji119]
Ebu mtuwekee na sisi hapa tusome wengine hatuna bando za kwenda huko mbali😁😁
 
Kumbe wameanza muda? Mie sikuwahi kuwaza hata

Ila tu jamaa huo uinnocent wake ulikuwaga unanipa mashaka kiaina

Hapo bibie inabidi ajifanye haoni tu

Nchi ngumu sana hii
Inasemekana bi mfupi ndo kaingilia mahusiano ya wenzie. Toka zile Enzi wakaenda China kufanya shopping ya vitu vya harusi na ndoa haikufungwa nilisikia sababu alikua b12 hakutaka jambo litokee na water-zo alipambana sana baby wake b12 akumbalie afunge ndoa.

Sema ni aibu jamani watu wanajua mumeo anakula mnduku wa mwanaume mwenzie bora ingekua anakula wadada
 
Imagine this!

Andunje chenyewe full mashauzi kama nini, ila deep down ukikaangalia unakaona kabisa hakana furaha kabisa!

Huwa nakumbana nako occasion mbalimbali kama misiba, harusi ukikakuta live huwa hakana amani wala raha full stress...ngoja aingie insta sasa[emoji854]
 
Ila alijua kutukomesha wadada wa mujini
 
Lakini kwa hili inabidi awe mpole tu maana na yeye si lahsgabagduan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…