Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

hahahhah uwiii binamu shauri yako.

Kwa hiyo kisa cha kujifia na presha kitu gani? Nilishasema humu mie kuweka siri kulishanishindaga, siri zangu mwenyewe tu natoa, sasa zako naziweka wapi? Ndo maana wambea tunaishigi miaka mingi
 

Huo ndio unafiki sasa, mtu kama huyo hafai maana yuko fake ana act tu ili aonekane mwema mbele ya huyo baby wake.
Mbona mimi ninaye na yupo huku na anajua fika kua mimi ni mbea? Tena anajua napenda umbea sana.Mwenyewe ana mastory ya hatari basi siku akiwa free ananipa ubuyu wa hatari pm na maisha yanasonga.
Tena mimi napenda umbea wa huku tu ila in real life huwezi kunikuta napiga umbea hata siku moja.
Nafurahi huku niko huru na mabeste zangu tunapiga umbea saaafi kabisa.
Mimi niko really, sipendi unafiki!
 
Hahahahahahahahaha na ukiukosa unasononeka kama umepoteza Tanzanite vile

Halafu uwa sikosi, maana kuna group letu hilo la wambea ni balaa, hakuna siri ya staa tusioijuaa, yani ukitaj jina tu, utapewa taarifa kuanzia mwaka wake aliozaliwa, katokea wapi, anakaa wapi na anatembea nani, na tutakwambia kama ana ngoma au lah, hapana chezeya
 

Hahahahaa nyie ni shiiidah mazee.
 
Hahahahahahaaa ni hivi basi tu lakini I wish ungekua hata rafiki yangu nje ya JF ila binamu wewe mbea sana!
Hata hivyo 1 day nitakuona tu Inshaallah...

Ahahahh kweli kabisa yani, watu wengi wananifuata PM kuomba namba yangu tuwe tunachat, sema usalama naogopa kutoa, ila nina mpango wa kutengeneza line nyingine next week nadhan, humo nitatoa namba yangu kwa wote tuwe tunachat, maana ata mimi najisikia vbya sana yani ,nataman ile bond ya nguvu, maana wambea mkikutana mnabadilishana mawazo no stress, ha hah hahah
 

Ulituyeyusha san Insta wewe, nikabaki na vichaa wangu wawili watatu tukawa tunatagian kimtindo ila naona wote siwaoni
Kabaki mmoja huyo....
Ila kwa kweli insta ulikua kama na chuki chuki ukawa ubuyu mchungu.Afu hukusema ulitishiwa nini ujue.
 
Mange Kimambi sasa mwanao anaenda highschool funga mkanda upambane kulea teenager ndio kunaanza rasmi, kumbuka: MTOTO HATASIKILIZA UNAVYOMFUNDISHA , BALI ATAANGALIA WEWE UNAVYOFANYA.so kuwa very careful.
Mzungu kama kawaida hachukuliii serious kivileee la sivyo angetinga suit,ila anajitahidi sana kukupa support Mange,mshukuru mungu.Wazungu ndio uzuri wao hata kama mmeachana wanatoa support ya kutosha,na anaweza hata akaishi na wewe mtaa moja au hata ikibidi nyumba moja kulea watoto mpaka wakuwe.Hongera, ulifanya la maana angekuwa mweusi huyo usingemsikia tenaaaaa.HAHAHAHAHAHAA UWIIIIIIIIIIIIIIIII
 
Watu wanadai blog ya Mange ishaanza kufungiwa bongo, watu kibao sasahivi wanadai hawaipati, hahahahaaa kweli shut up law imekuwa SHARAAAAAP :eyeroll1::tonguez::tonguez:
 

hahahahahhahahaah nilikua najionaga mbea....kwako najiona mwanafunzi .....kaaaaaaah!!!
 
Binamu tuanzishe hilo group bwana tuwe tunajadili mambo nyeti bila wasiwasi wal kufichaficha kama sasa.
Si unajua na ile sheria tena? Huko tutakua huru zaidi.Ila hakuna ruksa kwa asiye mbea.

Lol hakuna ruksa,

wataanza kuweka mbili tatu wajiunge hapo ndipo labda watajiachia kifichoni
 
Watu wanadai blog ya Mange ishaanza kufungiwa bongo, watu kibao sasahivi wanadai hawaipati, hahahahaaa kweli shut up law imekuwa SHARAAAAAP :eyeroll1::tonguez::tonguez:

Yaani hao kama hawakomenti kinyume nae nitajua kweli. Kama ni wasomaji tu basi kumekucha haswaaa

maana nae anatabia ya kufungia wanaompa ukweli ni hapendi ukweli bali anapenda kutukuzwa na anayoandika.
 
Watu wanadai blog ya Mange ishaanza kufungiwa bongo, watu kibao sasahivi wanadai hawaipati, hahahahaaa kweli shut up law imekuwa SHARAAAAAP :eyeroll1::tonguez::tonguez:

Hebu ngoja nikaitafute kwanza.Uwiiii nitakosa mengi mbona?
 
Hivi da Zenat ilikuwaje?
 
Watu wanadai blog ya Mange ishaanza kufungiwa bongo, watu kibao sasahivi wanadai hawaipati, hahahahaaa kweli shut up law imekuwa SHARAAAAAP :eyeroll1::tonguez::tonguez:

Mbona iko hewani...

Ile kufungiwa badoo sana...
 

Hivi haya ni ya ukweli? Ila kweli watu walishamhisi sana hasa kipindi kile alichovua pete.
Lakini yule mzungu wake kawa roughly siku hizi hadi anatisha!
Nimechekaje huyo Bhoke alivyopakwa make up? Sijui angezaa na mzungu yule mtoto akawa mzuri kama wenzie ingekuwaje!
Hata hivyo naona Bhoke anafanana na mama yake ndio hivyo tu mamie kajiongeza....
Halafu blog yake kwangu inafunguka bado, ngoja nikae kimya mie isijeacha kufunguka.
 
Lol hakuna ruksa,

wataanza kuweka mbili tatu wajiunge hapo ndipo labda watajiachia kifichoni

Hakunaaaaa halafu hatutaki id's mpya.Ni sisi tunaojuana tu.
Maana watu wanapenda umbea halafu kutwa kutusema.
 


itakua vizurii ILA Hilo group hatutaingiliwaaa yarabiii,jamani tufunguenii tunaojijua Tu wambea wa humu basi I'd mpya sio team umbea hakunaaaa,mambo tutamaliza Kule kuleee
 
Last edited by a moderator:
Hakunaaaaa halafu hatutaki id's mpya.Ni sisi tunaojuana tu.
Maana watu wanapenda umbea halafu kutwa kutusema.


umeona eeeeee hii habari tamu tunakosa umbea wa ukweliiii banaa humu twashindwa kujiachiaaa
 
Shosti Zenat si alipigwa fix kuwa nimeolewa na Bill Gates twende tutakusomesha and bla bla bla, heee kufika kule anaona siku zinaenda kageuzwa housegirl permanent.Kazi kupika, bibie kutwa mitaaani kuzogoa na mashosti wa Texas mara bongo anamuachia watoto, wakienda kwa wakwe nako anaachiwa jiko apike bidada anatoka out na mashosti, halafu anampiga picha dada wa watu kumtia kwenye blog kuonyesha anavyowatumikia jikonil, nyumbani etc hamna cha maana eti Xmas wakamnunulia cherehani then wakaanza kumpeleka kozi ya kushona :becky: mwenywe Mange plan yake eti Zenat akishajua kushona yeye atakuwa anadesign Zenat anashona.Duuuu Zenat mkimya ila mjanjaje sasa? naona akachoka kubanana kushea choo na mzungu.Unajua wazungu wanakunyaga halafu wanaflash hawatazami nyuma,ukoko wa mavi ukibaki anauacha tu, ushuzi anauacha hata hangojei dakika mbili aache hata mlango wazi au kadirisha ushuzi upoteee.Duuuu dada wa watu akaona cha kufia ni nini?niko USA full mastress aliyenileta mwenyewe hela hana yuko busy anauza mpaka wanja na lipstick :becky: basi akawasiliana na nduguze bongo, wakatunga story kuwa Zenat anahitajika nyumbani kuna mambo ya kifamilia.Basi akaondoka akasema atarudi,kufika bongo akawatumia ujumbe asanteni sana kwa yote siwezi kurudi huko, cherehani kawaachia na nguo walizokuwa wanamuhonga na kaptura za summer zote kawaaachia :becky: sikuhizi Mange akienda bongo wala hawawasiliana, hawaongei hawajuani tena.Zenat alikuwaga anajifanya ----- aenda kaanika ushenzi wote wa Mange na ukweli wa maisha yake, Mange ana mahasira naye nashangaa kwenye hii list hajamuweka.Sasa hiko cherehani si angempa huyo ex wake mzazi mwenzie awe anashona japo weekend, si hana kazi? kama kupinda hiyo nguo ya Bhoke ya graduation si angefanya yeye wakamlipa?? Mange si mtoto wa tajiri HAHAHAHAHAAA kujifanya mjanja kumbe kuna wajanja zaidi yake.Zenat alimtia kidole cha machoni akasepaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…