Mi nawashauri waje tu, unajua watu wanajishtukia kuja ku comment, unakuta sijui ana baby wake humu so akimuona anapiga umbea atamshusha so wanaona soo wakati umbea wanaupenda sana, wajiachie tu siku izi kila mtu anapiga umbea, kwanza unaleta afya na kukupunguzia maumivu na stres, hadi watu wazima wanapenda umbea, watakufa bure uko
Uwa siku nikikosa kazi kule insta uwa napekua account za mastaa wale wenye hadhi zao yani wanaheshimika, naangalia watu walio wafollow, jamani binamu mpaka unashangaa, unakuta mtu anaheshimika anawa follow watu wanaotukana matusi mazito, unakuta account imeandikwa flan kumam*yo mtu ana follow, yani nachekaga kweli, halafu sio mtu mmoja aliye mfollow, watu kibao anawafolow wenye matusi, nachekaga jaman uwiii warumi mie mbeya aisehh, basi uwa nawaonea huruma kweli yani khaa