Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

Na mie nipo na refresh mpaka kidole kimechoka kubonyeza hii app nayo.

Itabidi desktop view labda tutaona.

Yap, imebidi nitumie website ndio nimeona na nimeshajoin tayari.
Ila aliyeanzisha group afanye editing ya jina la group. I suggest WAMBEA WA JF zaidi maana akisema ladies anakosea.
Wapo wanaume wambea wenzetu tutakua hatujawatendea haki, kama akina warumi n.k
 
Last edited by a moderator:

Yani sijaona kitu kabisa ngoja nifungue kwa website aisee.
 
Last edited by a moderator:

Hilo nalo neno aiseh, aliyekwambia wambea siku izi wanawake peke yao nani?, mie warumi nawakilisha wanaume wote wambea, mie ndo balozi wao, so please jina hlo wabadilishe kwa kweli, heshima muhimu, chinekeeeee
 
Last edited by a moderator:
Hilo nalo neno aiseh, aliyekwambia wambea siku izi wanawake peke yao nani?, mie warumi nawakilisha wanaume wote wambea, mie ndo balozi wao, so please jina hlo wabadilishe kwa kweli, heshima muhimu, chinekeeeee

Na mie jamani
 

Lol Nifah umenivunja mbavu... Wambea wa JF uwiiiiii jina zuri.

Mie password yangu najaribu kuikumbuka nakosea kadude na siko na lappy basi mchoko hapa, nataka nijiungie simuni.
 
Last edited by a moderator:
Pls pls usituletee watu tusiowajua.Naomba member wote wanaotaka kujiunga wawekwe hadharani watu tuseme kama tunamjua au lah.
Tunataka uhuru hatutaki unafiki wa huku.

Umeona eeh? Hatutaki shombo na ma chakubimbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…