Mtoto wa Linda hana ugonjwa wowote , mgonjwa ni yeye kaangalie Linda kapost video za mwanae kazuriiiiiii
Huwa anawehuka anaanza kuattack watoto, wakwe na waume wa wenzake, ndio njia zake huyo.
Hisia zake zimeumizwa sana huyu lazima aumize wenzie.Na ajiangalie sana asije akajitanguliza mbele ya haki kama mzee wake alopigwa dudu akajirestisha in peace.
Hivi vita mwisho wake sio mzuri...
Kupitwaje ndugu
Mume wake ni choko na alimwambia yeye mwenyewe kwamba hataki tena marriage yeye kaamua kuwa na boyfriend wake niliwaambia hapa muda mkaniona mie muongo haya subirini aje aseme kwa nini kaachika najua jinsi alivyochanganyikiwa atasema tu hivi karibuni

Kweli ulituambia babampigi mimi nakumbuka.
Hivi si ulisema pia kua jamaa keshalala na Bhoke?
Haaa!
Uwiii....naomba frank amchukue mtoto wake.
Hapana hajalala na Bhoke sema hampendi kabisa Bhoke hata wazazi wake hawampendi unajua Mange alimdanganya Lance kuwa Bhoke ni niece wake mpaka kesho harusi Bhoke alim train yule mtoto amwite aunt sasa alivyokuja kusema ukweli mzungu hakumpenda hataa na mnajua wazungu bora ufanye kila kitu lakini usidanganye
Iviii kuna haja gani ya kumdanganya mwanamme kuwa huna mtoto akati unaye?
Ndio pale alifata status fulani ya maisha sio ndo.
Ndio maana alilazimisha sana kudate na wazungu kule dubai.Alijidhiki akaishi maisha ya dhiki ili apate danga.
Alisema mwenyeweee
Hapana hajalala na Bhoke sema hampendi kabisa Bhoke hata wazazi wake hawampendi unajua Mange alimdanganya Lance kuwa Bhoke ni niece wake mpaka kesho harusi Bhoke alim train yule mtoto amwite aunt sasa alivyokuja kusema ukweli mzungu hakumpenda hataa na mnajua wazungu bora ufanye kila kitu lakini usidanganye
Hapana hajalala na Bhoke sema hampendi kabisa Bhoke hata wazazi wake hawampendi unajua Mange alimdanganya Lance kuwa Bhoke ni niece wake mpaka kesho harusi Bhoke alim train yule mtoto amwite aunt sasa alivyokuja kusema ukweli mzungu hakumpenda hataa na mnajua wazungu bora ufanye kila kitu lakini usidanganye
Nilimaanisha mpaka kwenye harusi Bhoke anamwita Mama yake aunt sasa wazungu hawapendi mtu muongo tena unae ishi nae, Sasa sijui mswahili gani atamstiri huyo mmama maana Albert alisema kabisaa alivyo na harufu sasa mie huwa najiuliza Mange kujitai kote kula hata vitu vya kutoa harusu chini havijui au hajui kama anatema? maana hata marafiki zake wote wanajua ana tatizo hilo. umeishi Dubai ebu ongea na wale rafiki zako wa zamani wa Dubai wakuletee hata maudi flani ya kufukiza labda utaacha kutoa harufu unanyima wenzio raha, sijawahi kutana na mwanamke hasafishi kwa bibi wewe tatizo lako ni nini
Duh ama kweli watu hamumpendi Mange maana naona kila neno baya dhidi yake linaaminiwa mazima tu.
Swali, je, huyo Albert alisema hivyo katika mazingira gani? Ya chuki?
Maana watu kwa kawaida tukiwa na hasira au ghadhabu saa ingine huwa tunasema tu mambo mabaya hata kama si ya kweli.
Mkuu hakusema kwa chuki alimwambia mshikaji wake El na El akamwambia Mwamvita! Mwamvita akamwambia Mange jinsi Albert alichosema Kwani hujawahi kuona ile email ya Mwamvita na Mange? Anamlalamikia alichokisema Albert hawezi kumsamehe na Mange mwenyewe akakiri alimpa tigo Albert! Mkuu mie simpendi sababu anatukana watu kibao bila sababu lakini namjua fikaa na sina haja ya kumsungizia! pia uliza mtu yoyote anaemjua Mange vizuri akwambia kama hanuki mdomo na uchi halafu uje hapa utupe jibu
ukiujua huu wenzio waujua ule
mangeeee kumbe ulidanganya kwa mzunguuu
Naomba nipostie inbox niusome kama uliwahi kukopi. Nimekuta holla ameshafuta mapemaaa
na alivyo mnafki sasaaa...Mwenzangu acha tu, ili iweje? Kapata nini sasa? Hivi huyo mwanae akipata akili atafurahi kusikia mama alimkana sababu ya mwanaume?
Wanawake wakati mwingine tuna roho za ajabu sana.
Hahahaaaa duh!
Ila hii mitandao inatoa ujasiri sana kwa watu.
Binafsi sidhani kabisa huyo dada kama anaweza kuyasema ana kwa ana yote aandikayo kwenye hiyo blogu yake.
Mtu anaandika kajificha kwenye ki studio apartment chake utadhani bonge la jasiri kumbe hamna lolote.
Ningemwona kweli wa maana kama wote awachanao kwenye hiyo blogu angewaambia ana kwa ana tuone.
Sijui wengine, ila najua kwa mfano ingekuwa mimi, akinambia huo ujinga wake ana kwa ana ndo utakuwa mwanzo wa mwisho wake maana lazima nitamsababishia kilema cha maisha ndani ya sekunde chache kabisa.