Ahaha hata dr. Mwele ni mmbea wakati ni director mzima. Huwa siwekagi wazi ishu yangu yoyote huku JF ila kwa hili imebidi manake kuwekwa kundi moja na wale malaya wa china n; zaidi ya uonevu. Jamani kisa umbea ndio kuambiana kwamba Niko kundi moja na matikibokoyao?? warumi ukitaka cheti pia njoo chemba...
ahahahahahah!!!nakupendaga hapo tu,maji unaita maji na chai unaita chai,hakuna kuzunguka na maneno!!!
nimefurahi sana ujue
nimeona wametoa scholarship hao norway nataka nitest zali la MA ila naomba na hapa bongo pia
tena dk mwele ni mtu mzima ila hovyooooooo
kabisa so umbea umbeani tuu
Zipo Kingine za October 1 to december 1.
thnx mpenzi umbea na shule pia vinaendana sambamba ili tuweze kunnua mabando
halafu mrembo hv hawa wanaojifanya watakatifu kumsema dogi kua kamkosea mama mondi hivu sio walioshabikia uchi wa mama wema hawaa...?!!
ama kweli...!!!
mtenda akitendewa...anahisi kuonewaa..
mama wa dai th eeehh.!!!
Mange huyo na wake kawarushia jibu saa moja mbili iliyopita na caption hiyo msome
View attachment 258610
Anadai alipojua tu ndio kipindi kile akasema inabidi niache vita ya siasa, sasa mbona alirudi tena kuchambua watu? unajua siri tuliyoijua sasa ni nini mwasu??? UMBEA WOOOTE NA MANENO YOTE YA CCM MANGE ANAYOYAANDIKAGA ANAAMBIWAGA NA MWELE, MATUSI YOTE WANAYOTUKANWA KINA NACKY NYAGE NA NDOA ZAO NI MWELE, SASA MANGE SIJUI ATAFICHA WAPI USO WAKE, MWELE KAMPENI YAKE ITAPIGWA VITA SANA SABABU YA MANGE, ATASHANGILIWA NA WAPUUZI TU, UTAONA, HAAAA MWELE MAMA MZIMA UNAJIINGIZA KWENYE MAGOMVI YA WATOTO WADOGO.HAPO WAMENGOJEA JANUARY ATANGAZE NIA JANA AMALIZE NAYEYE LEO KAJITOA KWENYE GAZETI ETI ANAGOMBEA, MWEEE SIKUTEGEMEA, SASA MALECELAS WATAKUWA MASHAKANI UMBEA WA U-TURN UMEJULIKANA UNAKOTEA, SASA ITS WAR......
Asante kwa kutupa wambea heshima, soon tutakua na mbea mwenye PhD!
Asante dina
Mwenzenu siwezi kuposti sauti ila mama rommy anamuuliza salehe yule boyfriend Wa mama dai kwamba zipe pic alizoona za harusi ni zake?? Si mnajua yule boyfriend alimkaushia full mama dai na kuhama home pale sinza. In short walikuwa wanaishi wote
ooooh yaan hata mi nilikua sijaelewaa aisee,afadhal umefafanuaaa,salehe ni dogo dogo hhhhaaa,jaman bibi mzima kutembea na watoto,pesa zinatoka kwa Daimond,kazi ipo
Hongeraaa!
Huu umbea mtamu ila sijaupenda ingawa hajamaliza
Mange huyo na wake kawarushia jibu saa moja mbili iliyopita na caption hiyo msome
View attachment 258610
thnx mpenzi umbea na shule pia vinaendana sambamba ili tuweze kunnua mabando
halafu mrembo hv hawa wanaojifanya watakatifu kumsema dogi kua kamkosea mama mondi hivu sio walioshabikia uchi wa mama wema hawaa...?!!
ama kweli...!!!
mtenda akitendewa...anahisi kuonewaa..
mama wa dai th eeehh.!!!
RUmy kafanyaje jaman, naona na yeye kafuta picha zote kama lulu alivyofanyaga mh
Huyu Mama wa raisi dangote, Chibu mtu mbaya, sukari ya warembo kashikwa pabaya... cute b, kuja hukuuu uone bibi mutu muzimmaaa anavolilia hogo la jang'ombe.
Heheheeeeee nicheke mie ninunee kwani ni mimi narubuni watoto....
Mamy niliona iyo oudio insta ila siku concetrate kumbe ni mambo matamu eee....umbea utaniua mie acha niwahi udsm nikajiunge bando kwanza mweeeeeee...
Ahahaha mwenzangu tutakutana wote UDSM, mwaka huu mahudhurio ya chuo yatakuwa mazuri sana