Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

Ahaha hata dr. Mwele ni mmbea wakati ni director mzima. Huwa siwekagi wazi ishu yangu yoyote huku JF ila kwa hili imebidi manake kuwekwa kundi moja na wale malaya wa china n; zaidi ya uonevu. Jamani kisa umbea ndio kuambiana kwamba Niko kundi moja na matikibokoyao?? warumi ukitaka cheti pia njoo chemba...

nimefurahi sana ujue
nimeona wametoa scholarship hao norway nataka nitest zali la MA ila naomba na hapa bongo pia

tena dk mwele ni mtu mzima ila hovyooooooo
kabisa so umbea umbeani tuu
 
Last edited by a moderator:
nimefurahi sana ujue
nimeona wametoa scholarship hao norway nataka nitest zali la MA ila naomba na hapa bongo pia

tena dk mwele ni mtu mzima ila hovyooooooo
kabisa so umbea umbeani tuu

Zipo Kingine za October 1 to december 1.
 
Zipo Kingine za October 1 to december 1.

thnx mpenzi umbea na shule pia vinaendana sambamba ili tuweze kunnua mabando

halafu mrembo hv hawa wanaojifanya watakatifu kumsema dogi kua kamkosea mama mondi hivu sio walioshabikia uchi wa mama wema hawaa...?!!
ama kweli...!!!
mtenda akitendewa...anahisi kuonewaa..
mama wa dai th eeehh.!!!
 
Kweli akili tumepewa ila inategemea unazitumiaje.
Ukisikia kuna kukua kiakili na kukua mwili ndiyo hii sasa.
Kila anayesoma comments zake ndiyo zinamdefine Kapona au bado Anameza dawa.????????????
 
thnx mpenzi umbea na shule pia vinaendana sambamba ili tuweze kunnua mabando

halafu mrembo hv hawa wanaojifanya watakatifu kumsema dogi kua kamkosea mama mondi hivu sio walioshabikia uchi wa mama wema hawaa...?!!
ama kweli...!!!
mtenda akitendewa...anahisi kuonewaa..
mama wa dai th eeehh.!!!

Si vyema kutukana mama yeyote duniani. Sema hawa wanakuwa na double standards. Wasiwafanye wamama Wa watu wakajutia kuzaa ma star manake kila Sikh mapya
 
Anadai alipojua tu ndio kipindi kile akasema inabidi niache vita ya siasa, sasa mbona alirudi tena kuchambua watu? unajua siri tuliyoijua sasa ni nini mwasu??? UMBEA WOOOTE NA MANENO YOTE YA CCM MANGE ANAYOYAANDIKAGA ANAAMBIWAGA NA MWELE, MATUSI YOTE WANAYOTUKANWA KINA NACKY NYAGE NA NDOA ZAO NI MWELE, SASA MANGE SIJUI ATAFICHA WAPI USO WAKE, MWELE KAMPENI YAKE ITAPIGWA VITA SANA SABABU YA MANGE, ATASHANGILIWA NA WAPUUZI TU, UTAONA, HAAAA MWELE MAMA MZIMA UNAJIINGIZA KWENYE MAGOMVI YA WATOTO WADOGO.HAPO WAMENGOJEA JANUARY ATANGAZE NIA JANA AMALIZE NAYEYE LEO KAJITOA KWENYE GAZETI ETI ANAGOMBEA, MWEEE SIKUTEGEMEA, SASA MALECELAS WATAKUWA MASHAKANI UMBEA WA U-TURN UMEJULIKANA UNAKOTEA, SASA ITS WAR......

Haa kama alitegemea kumtumia mange atukane watu kaumia, mie mwenyewe nishamtoa akilini, mchepuko mtu msomi unajipendekeza kwa watoto wa bwana ako ili iweje? Mzee kimambi si alikuwa mwislamu yule why hakumuoa mke wa pili kama mwele alijiona wa maana sana mpaka kumchukua mange kujifanya mamake? Tena huy ndio alichangia sana mange kumtukana mamake wa kambo mke halali wa babake mpaka kumpeleka mama wa watu mahakamani kisa mirathi. Eti awe president huyu si atahalalisha michepuko huyu? Say no to huyu mama Mange.
 
Mwenzenu siwezi kuposti sauti ila mama rommy anamuuliza salehe yule boyfriend Wa mama dai kwamba zipe pic alizoona za harusi ni zake?? Si mnajua yule boyfriend alimkaushia full mama dai na kuhama home pale sinza. In short walikuwa wanaishi wote

Koh koh koh koh!
So mama dai alikua anaishi na hako kaserengeti boi?
 
ooooh yaan hata mi nilikua sijaelewaa aisee,afadhal umefafanuaaa,salehe ni dogo dogo hhhhaaa,jaman bibi mzima kutembea na watoto,pesa zinatoka kwa Daimond,kazi ipo

Huyu Mama wa raisi dangote, Chibu mtu mbaya, sukari ya warembo kashikwa pabaya... cute b, kuja hukuuu uone bibi mutu muzimmaaa anavolilia hogo la jang'ombe.
 
Last edited by a moderator:
thnx mpenzi umbea na shule pia vinaendana sambamba ili tuweze kunnua mabando

halafu mrembo hv hawa wanaojifanya watakatifu kumsema dogi kua kamkosea mama mondi hivu sio walioshabikia uchi wa mama wema hawaa...?!!
ama kweli...!!!
mtenda akitendewa...anahisi kuonewaa..
mama wa dai th eeehh.!!!

Aah...ila si yalipita auuu...
Mie nafurahia hapa kwa vile ni team ya jirani, ila kamoyo kanadunda.
 
Huyu Mama wa raisi dangote, Chibu mtu mbaya, sukari ya warembo kashikwa pabaya... cute b, kuja hukuuu uone bibi mutu muzimmaaa anavolilia hogo la jang'ombe.

Heheheeeeee nicheke mie ninunee kwani ni mimi narubuni watoto....
Mamy niliona iyo oudio insta ila siku concetrate kumbe ni mambo matamu eee....umbea utaniua mie acha niwahi udsm nikajiunge bando kwanza mweeeeeee...
 
Last edited by a moderator:
Heheheeeeee nicheke mie ninunee kwani ni mimi narubuni watoto....
Mamy niliona iyo oudio insta ila siku concetrate kumbe ni mambo matamu eee....umbea utaniua mie acha niwahi udsm nikajiunge bando kwanza mweeeeeee...

Ahahaha mwenzangu tutakutana wote UDSM, mwaka huu mahudhurio ya chuo yatakuwa mazuri sana
 
Back
Top Bottom