Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

Ndo kimaadili ya sisi wanadamu,watoto wanaozaliwa nje ya ndoa ni haramu,wazungu waingereza/wamarekani wanawaita illegitimate

Kwa hiyo kama wazungu wanawaita watoto wa nje ya ndoa kuwa ni illegitimate hiyo ndo inafanya iwe sawa na sisi kuwaita hao watoto kuwa ni haramu?

Hakuna binadamu aliye haramu hata kidogo. Ni makosa kuita binadamu wengine hivyo.
 
hiyo ilikuwa ni kuonyesha tu kuwa dunia nzima watoto wa nje ya ndoa wana majina maalum,sisi tunawaita Haramu,kataa kubali watoto wa nje ya ndoa ni haramu
 
Kuna kitu huwa najiulizaga ni wamemdharau wasimsute au haswa huyo Shamim maana anampelekesha sana ya nguo ilikuwa kali ikabidi aseme tu kabla hajavamiwa na maneno kuwa anamgeza.

Anagezwa hadi kula na kulala.
Yeye ndiye ame invent ivo vitu.
 
Kwa hiyo kama wazungu wanawaita watoto wa nje ya ndoa kuwa ni illegitimate hiyo ndo inafanya iwe sawa na sisi kuwaita hao watoto kuwa ni haramu?

Hakuna binadamu aliye haramu hata kidogo. Ni makosa kuita binadamu wengine hivyo.

Kwa hiyo wanaitwaje?
 
Kwa hiyo wanaitwaje?

Waitwe watoto wa nje ya ndoa.

Siyo kuwaita haramu.

Sote ni binadamu, tunavuta na kupumua hewa ile ile, tunakula na kunywa vyakula vile vile, mwisho wetu ni uleule....sasa wewe uhalali wako wa kuita wenzio haramu ni upi?

Kwani kuna mtoto anayeamua kuzaliwa nje ya ndoa?

Hiyo ni lebo mbaya sana na ya kibaguzi na haifai kabisa kutumika kumwelezea binadamu mwenzio ambaye hakuwa na uamuzi wa jinsi ya kuja hapa duniani kama ambavyo wewe unayejiona uliye halali hukuwa na uamuzi wa mazingira yako ya kuzaliwa.
 
Kweli kabisa ni jina baya sana, hakuna mtoto anayechagua aje kwa njia gani...
 
Waitwe watoto wa nje ya ndoa.

Siyo kuwaita haramu.

Sote ni binadamu, tunavuta na kupumua hewa ile ile, tunakula na kunywa vyakula vile vile, mwisho wetu ni uleule....sasa wewe uhalali wako wa kuita wenzio haramu ni upi?

Kwani kuna mtoto anayeamua kuzaliwa nje ya ndoa?

Hiyo ni lebo mbaya sana na ya kibaguzi na haifai kabisa kutumika kumwelezea binadamu mwenzio ambaye hakuwa na uamuzi wa jinsi ya kuja hapa duniani kama ambavyo wewe unayejiona uliye halali hukuwa na uamuzi wa mazingira yako ya kuzaliwa.

Well said mkuu.
 
nifah ile invatation cjaiona au bado unaniscrean

Eeish, naweza vipi kukudanganya dear? Nilifanya hivyo siku ileile.
Ila kama unatumia JF app huwezi kuona, ingia kwa web ndio utaona.
 
Last edited by a moderator:
Mange hongera kwa kufurahia kusemwa kuwa unaandikwa humu, embu njoo basi na jina lako la ukweli tupatiane ubuyu, utusumulie na kampeni

Usiandike kizungu tu ili sie kama nie mtoto nisiekijua kimombo vizuri niko pande ya mbali tuendelee kukupa kiki

Zamani ulikuwa haupendi jamiiforums as bosi yupo kwenye list ya unaowaonea wivu. itajwe na mie mvivu kusoma blog yako sivutiwi kama zamani kabisaaaaaa unaniboaga sanaaasa so bora nisiingie labda nisome humu kuwa kuna umbea unaonivutia haswa.

Usione haya kuanza upya.

Embu hivi unalalaga?
Unakula? Uwachukiao unahamu uwafanyeje? Ukiwa ndani ukasikia hodi unajificha kuogopa maadui zako? Unataka nini duniani? Hii list uliandika hawa 25 wengine utaandika lini labda utapunguza mahasira yanayokujengea hatari ya maisha yako? Kweli una nguvu za kupigana? Sasa Mwamvita umemtukania kaka ake baada ulimpigia kumpa hapi born day? Picha za harusi umechana upande wa Kiki? Mumeo yaani si eti ex mume haya akiulizia marafiki zako unamjibu nini? Hakushangai biashara hazi imaliki na bado unatumia njia mia na kitu sasa? Wewe umejiangalia nini unakosea maana haujatulia kabisa? Unajijua watu wanamsema Dr Mwele vibaya kwa sababu yako siri nyingi nje? Unajisikiaje juu ya wewe kuea sababu? Mbona picha nyingi unaangalia chini huko IG je unamlipa mwanao? Unabeba silaha kwa kuogopa kumalizwa? Baba Bhoke kweli haogopi wewe kumfundisha mwanae tabia mbaya? Si unakumbuka Jan alikuonyesha cha moto hadi alipanga born day ale nao, duh ulijisikiaje? Na mawazu ya ndoa ulikaaje? Duh siku unapigwa nahamu uwepo uwe unatembelea huku uswazi basi ukija TZ

Haya njoo upate kiki kwa kuachia mi komenti ya watu wa humu kusemwa ka bulogi yako...ufurahi jibu maswali mengine yatafata. Tugawie masufuria. lol huyo fenesi wako alitoa kali mbavu zangu uwiiii haku mie

JF inakuweka mjini sasa thanks to wa humu, imefika muda uache ku bully watu na kutunga uongo pia uliopinda.

Karibu zels

Na usernames zako zingine
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom