Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Ndo kimaadili ya sisi wanadamu,watoto wanaozaliwa nje ya ndoa ni haramu,wazungu waingereza/wamarekani wanawaita illegitimate
Kwa hiyo kama wazungu wanawaita watoto wa nje ya ndoa kuwa ni illegitimate hiyo ndo inafanya iwe sawa na sisi kuwaita hao watoto kuwa ni haramu?
Hakuna binadamu aliye haramu hata kidogo. Ni makosa kuita binadamu wengine hivyo.