Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Ndo kimaadili ya sisi wanadamu,watoto wanaozaliwa nje ya ndoa ni haramu,wazungu waingereza/wamarekani wanawaita illegitimate
Yap isome hiyo screenshort
hawa hawaelewani kivile kwanza si mutuz ni mtoto haram,mtoto wa nje ya ndoa
hiyo ilikuwa ni kuonyesha tu kuwa dunia nzima watoto wa nje ya ndoa wana majina maalum,sisi tunawaita Haramu,kataa kubali watoto wa nje ya ndoa ni haramuKwa hiyo kama wazungu wanawaita watoto wa nje ya ndoa kuwa ni illegitimate hiyo ndo inafanya iwe sawa na sisi kuwaita hao watoto kuwa ni haramu?
Hakuna binadamu aliye haramu hata kidogo. Ni makosa kuita binadamu wengine hivyo.
Kuna kitu huwa najiulizaga ni wamemdharau wasimsute au haswa huyo Shamim maana anampelekesha sana ya nguo ilikuwa kali ikabidi aseme tu kabla hajavamiwa na maneno kuwa anamgeza.
Hizo nguo anaona ni yeye peke yake anauwezo wa kununua wakati ananunua china
Kwa hiyo kama wazungu wanawaita watoto wa nje ya ndoa kuwa ni illegitimate hiyo ndo inafanya iwe sawa na sisi kuwaita hao watoto kuwa ni haramu?
Hakuna binadamu aliye haramu hata kidogo. Ni makosa kuita binadamu wengine hivyo.
hiyo ilikuwa ni kuonyesha tu kuwa dunia nzima watoto wa nje ya ndoa wana majina maalum,sisi tunawaita Haramu,kataa kubali watoto wa nje ya ndoa ni haramu
Huyo Rose Kimambi ni nani? mama wa kambo wa Mange? au ndio yule aliowazaa wadogo zake Mange yule K na yule mwingine Anil bonge mpana kama uwanja wa taifa???
Kwa hiyo wanaitwaje?
Waitwe watoto wa nje ya ndoa.
Siyo kuwaita haramu.
Sote ni binadamu, tunavuta na kupumua hewa ile ile, tunakula na kunywa vyakula vile vile, mwisho wetu ni uleule....sasa wewe uhalali wako wa kuita wenzio haramu ni upi?
Kwani kuna mtoto anayeamua kuzaliwa nje ya ndoa?
Hiyo ni lebo mbaya sana na ya kibaguzi na haifai kabisa kutumika kumwelezea binadamu mwenzio ambaye hakuwa na uamuzi wa jinsi ya kuja hapa duniani kama ambavyo wewe unayejiona uliye halali hukuwa na uamuzi wa mazingira yako ya kuzaliwa.
Hahahaaa jamani! Mpana kama? ??
Hahaha hahahaha.... Kama.......
Hahahaaa eti uwanja wa taifa! Duuuh
Kweli kabisa ni jina baya sana, hakuna mtoto anayechagua aje kwa njia gani...
Waitwe watoto wa nje ya ndoa.
Siyo kuwaita haramu.
Sote ni binadamu, tunavuta na kupumua hewa ile ile, tunakula na kunywa vyakula vile vile, mwisho wetu ni uleule....sasa wewe uhalali wako wa kuita wenzio haramu ni upi?
Kwani kuna mtoto anayeamua kuzaliwa nje ya ndoa?
Hiyo ni lebo mbaya sana na ya kibaguzi na haifai kabisa kutumika kumwelezea binadamu mwenzio ambaye hakuwa na uamuzi wa jinsi ya kuja hapa duniani kama ambavyo wewe unayejiona uliye halali hukuwa na uamuzi wa mazingira yako ya kuzaliwa.
She is always like that! HUWA HAELEWIIIII
Hahahahaa, haya usijali ngoja nikakutumie group invitation.