hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 6,853
- 4,552
Tunamsomea alompiga tundu lissu risasi
Obviously, hawa mashehe ubwabwa ni mawakala wa Ibilisi. It’s unconscionable kwamba anayeteka na kuua raia bila sababu wanamsomea dua ya kheri halafu wanaopinga mauaji ya raia wanawasomea al badri. It defies any logic!Sheikh Sharif Firdausi ambaye ni kijana wa Ostadhi mazinge wakishirikiana na MASHEIKH wale machawa wamesoma albadir kwa wanaharakati wote akiwepo Mange kimambi, Maria SARUNGI na wote wanaotetea haki.
Vitendo kama hivi vya kishirikina hutasikia vikikemewa popote pale,
Zaidi utasikia Uislamu hauruhusu shirki huu ni unafiki mkubwa
Tumeona hata mashabiki wa Simba wakijiandaa tarehe 22 kusoma albadir kwa wanaoikwamisha klabu Yao.
Lakini hutaona MASHEIKH wakikemea hivi vitendo kama kweli ni shirki
Hapa chini nitaweka video ya ALBADIRI iliyosomwa kwa ajili ya mange kimambi
Nitachotaka kuwaambia - Hakuna baya litakalowakuta au kumkuta yeyote ,
Huu utapeli wenu, mmeshakula pesa za kina Dully ,
Pumbavu zenu
View attachment 3517226
Sheikh Sharif Firdausi ambaye ni kijana wa Ostadhi mazinge wakishirikiana na MASHEIKH wale machawa wamesoma albadir kwa wanaharakati wote akiwepo Mange kimambi, Maria SARUNGI na wote wanaotetea haki.
Vitendo kama hivi vya kishirikina hutasikia vikikemewa popote pale,
Zaidi utasikia Uislamu hauruhusu shirki huu ni unafiki mkubwa
Tumeona hata mashabiki wa Simba wakijiandaa tarehe 22 kusoma albadir kwa wanaoikwamisha klabu Yao.
Lakini hutaona MASHEIKH wakikemea hivi vitendo kama kweli ni shirki
Hapa chini nitaweka video ya ALBADIRI iliyosomwa kwa ajili ya mange kimambi
Nitachotaka kuwaambia - Hakuna baya litakalowakuta au kumkuta yeyote ,
Huu utapeli wenu, mmeshakula pesa za kina Dully ,
Pumbavu zenu
View attachment 3517226
Dua batili labda shetani atawasilizaSheikh Sharif Firdausi ambaye ni kijana wa Ostadhi mazinge wakishirikiana na MASHEIKH wale machawa wamesoma albadir kwa wanaharakati wote akiwepo Mange kimambi, Maria SARUNGI na wote wanaotetea haki.