Mange, Maria Sarungi na watetezi wa haki wote wasomewa Albadir!

Mange, Maria Sarungi na watetezi wa haki wote wasomewa Albadir!

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
18,678
Reaction score
27,653
Sheikh Sharif Firdausi ambaye ni kijana wa Ostadhi mazinge wakishirikiana na MASHEIKH wale machawa wamesoma albadir kwa wanaharakati wote akiwepo Mange kimambi, Maria SARUNGI na wote wanaotetea haki.

Vitendo kama hivi vya kishirikina hutasikia vikikemewa popote pale,

Zaidi utasikia Uislamu hauruhusu shirki huu ni unafiki mkubwa

Tumeona hata mashabiki wa Simba wakijiandaa tarehe 22 kusoma albadir kwa wanaoikwamisha klabu Yao.

Lakini hutaona MASHEIKH wakikemea hivi vitendo kama kweli ni shirki

Hapa chini nitaweka video ya ALBADIRI iliyosomwa kwa ajili ya mange kimambi

Nitachotaka kuwaambia - Hakuna baya litakalowakuta au kumkuta yeyote ,

Huu utapeli wenu, mmeshakula pesa za kina Dully ,

Pumbavu zenu

 
Wakimaliza kusoma hiyo Albadir kwa Mange na Maria, wasome Albadir nyingine kwa waliouwa watanzania Oct 29, walioiba kura wakajitangazia ushindi wa 98%, wanaoiba mali za watanzania na kuwapa watoto wao watapanye.

Then tuone albadir ipi itajibu kwa haraka.
 
Najua
Ila sikuiz umekuwa mpumbavu tangu tukujue
Nadhani ni uhalisia wako.


Mimi sipo hapa kuwafurahisha mkuu

Nyie wajinga mlifanya makosa makubwa kuelekea 29/10

Ile mmeamasisha maandamano kuwaweka vijana barabarani wameuliwa Kama Kuku kwa upumbavu wenu


Kwahiyo msitegemee niwaunge mkono
 
Back
Top Bottom