Kila siku wanamsomea alubadili mwamba Netapaka cha ajabu lile jitu Ndio linazidi kupeleka Moto wa kifuuWhy can't Muslims do this to Jews, their mortal enemy ? 🤣
IhihihiiiiiiiiWaislamu wameleta Uhuru wa nchi kasome historia
I wonder hahahaWhy can't Muslims do this to Jews, their mortal enemy ? 🤣
Mara Albadiru na yule anakuja na Qunut na zote hazifanyi kazi zaidi ya kunuka ushuzi tu hakuna kitu ni upuuzi..Nitachotaka kuwaambia - Hakuna baya litakalowakuta au kumkuta yeyote ,
Huu utapeli wenu, mmeshakula pesa za kina Dully ,
Pumbavu zenu
Hakuna kitu hapo zaidi zaidi wao wenyewe ndio wataokufa kabla ya huyo wanaemchinjia kondoo yaan wanajikaanga kwa mafuta yao wenyewe.. achana kabisa na hayo maigizo ya uongo eti albadiru sijui huyu anasema Qunut ni upuuzi wa mazingaombwe msitishike na hizo cinema zao wao sio waumbajiHadi wanawachinjia kondoo jamaniii
Mbona hii ni kama wamem-copy Mwaposa na ni kama Gwajima aliyechangamka hivi... Albdadri gani hiyo iliyokaa kikristo hivyo?Sheikh Sharif Firdausi ambaye ni kijana wa Ostadhi mazinge wakishirikiana na MASHEIKH wale machawa wamesoma albadir kwa wanaharakati wote akiwepo Mange kimambi, Maria SARUNGI na wote wanaotetea haki.
Vitendo kama hivi vya kishirikina hutasikia vikikemewa popote pale,
Zaidi utasikia Uislamu hauruhusu shirki huu ni unafiki mkubwa
Tumeona hata mashabiki wa Simba wakijiandaa tarehe 22 kusoma albadir kwa wanaoikwamisha klabu Yao.
Lakini hutaona MASHEIKH wakikemea hivi vitendo kama kweli ni shirki
Hapa chini nitaweka video ya ALBADIRI iliyosomwa kwa ajili ya mange kimambi
Nitachotaka kuwaambia - Hakuna baya litakalowakuta au kumkuta yeyote ,
Huu utapeli wenu, mmeshakula pesa za kina Dully ,
Pumbavu zenu
View attachment 3517226
Cinema zao za ushuzi wanaleta mazungaombwe huo ushuzi wao utawarudia wenyewe pumbabuMbona hii ni kama wamem-copy Mwaposa na ni kama Gwajima aliyechangamka hivi... Albdadri gani hiyo iliyokaa kikristo hivyo?
Eti nini albadiru?Kukosa akili huko.
Mona ya masheikh nilikua nawaona timamu ni sheikh Kishk. Lakini alipoingia mkenge kwenye lile suala la afande sele, hapo ndio nilipomuona Hana akili
Kama afande sele kamtukana Allah, basi ataadhibiwa na Allah kwa muda wake. Lakini Kishk kwa kukosa akili akaitisha dua ya kumuombea kifo afande sele, akaapa ndani ya siku 7 majibu yatatoka. Toka 2021 hadi leo 2025 hakuna lolote lilompata
Mungu huwa hapangiwi kutoa adhabu. Hiki ndio sheikh Kishk alikisahau. Huenda siju ile ile Mungu alimsamehe afande sele
Ndugu hao watu ukiwaambia habari za ufisadi unaofanywa na familia za watawala, wanakwambia hizo ni husda...Wakimaliza kusoma hiyo Albadir kwa Mange na Maria, wasome Albadir nyingine kwa waliouwa watanzania Oct 29, walioiba kura wakajitangazia ushindi wa 98%, wanaoiba mali za watanzania na kuwapa watoto wao watapanye.
Then tuone albadir ipi itajibu kwa haraka.