Mange, Maria Sarungi na watetezi wa haki wote wasomewa Albadir!

Mange, Maria Sarungi na watetezi wa haki wote wasomewa Albadir!

kwanza lazima wakue majina ya mama za hao wanapania kuwaimbea dua mbaya!

Pili majini huwa hayafanyi kazi kama mtu kaonewa!

je aliyepiga risasi watu majumbani mwao mpaka wakaua sharrif majini ni nani hao?

HII DUA ITAUA AKINA MAFWELE na Bi Mkubwa wao
Nakazia
 
Mimi sipo hapa kuwafurahisha mkuu

Nyie wajinga mlifanya makosa makubwa kuelekea 29/10

Ile mmeamasisha maandamano kuwaweka vijana barabarani wameuliwa Kama Kuku kwa upumbavu wenu


Kwahiyo msitegemee niwaunge mkono
Hauko timamu kichwani
 
Walimtabiria afande sele afe, muhuni yupo na juzi TU Kavita Kiko ili qichqpe haswa kifo ni miliki ya mungu na si binadamu, kwa mzee alikibao walitqka kusoma sijui wali iishia wapi
 
Waislamu wa Mbagala ni majobless kutwa ujinga ujinga tu
 
Kwani wakati mnaomba sijui novena ili samia afe si ni uchawi tu kama hawa au kwa vile jina novena la kizungu mnaona ni maajabu kwa mlivyo walamba matako ya wazungu
 
Sheikh Sharif Firdausi ambaye ni kijana wa Ostadhi mazinge wakishirikiana na MASHEIKH wale machawa ,wamesoma albadir kwa wanaharakati wote akiwepo Mange kimambi, Maria SARUNGI na wote wanaotetea haki .


Vitendo kama hivi vya kishirikina hutasikia vikikemewa popote pale ,

Zaidi utasikia Uislamu hauruhusu shirki ,huu ni unafiki mkubwa

Tumeona hata mashabiki wa Simba wakijiandaa tarehe 22 kusoma albadir kwa wanaoikwamisha klabu Yao .

Lakini hutaona MASHEIKH wakikemea hivi vitendo kama kweli ni shirki


Hapa chini nitaweka video ya ALBADIRI iliyosomwa kwa ajili ya mange kimambi

Nitachotaka kuwaambia ,Hakuna baya litakalowakuta au kumkuta yeyote ,

Huu utapeli wenu, mmeshakula pesa za kina Dully ,

Pumbavu zenu
View attachment 3517226
Matako yao. Badala wasomee albadir wauwaji wa shekhe majini na watz wengine na walioshindwa kuwaletea watu maji wanaleta masikhara hawa
 
Back
Top Bottom