M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Nimecheka kinoma, yaani hii na sisi wa humu JF tumo. What do they really teach them kwenye hizi dini mpaka watu wanafikia kiwango hiki cha upumbavu, na waha wendawazimu ndiyo mtaji wa CCM.Sheikh Sharif Firdausi ambaye ni kijana wa Ostadhi mazinge wakishirikiana na MASHEIKH wale machawa wamesoma albadir kwa wanaharakati wote akiwepo Mange kimambi, Maria SARUNGI na wote wanaotetea haki.
Vitendo kama hivi vya kishirikina hutasikia vikikemewa popote pale,
Zaidi utasikia Uislamu hauruhusu shirki huu ni unafiki mkubwa
Tumeona hata mashabiki wa Simba wakijiandaa tarehe 22 kusoma albadir kwa wanaoikwamisha klabu Yao.
Lakini hutaona MASHEIKH wakikemea hivi vitendo kama kweli ni shirki
Hapa chini nitaweka video ya ALBADIRI iliyosomwa kwa ajili ya mange kimambi
Nitachotaka kuwaambia - Hakuna baya litakalowakuta au kumkuta yeyote ,
Huu utapeli wenu, mmeshakula pesa za kina Dully ,
Pumbavu zenu
View attachment 3517226
To make more hilarious ni hiyo list ya watu wanaowaombea, na hayo mazwazwa yanayomsikiliza huyo zwazwa mwenzao hapo yanaamini kabisa kwamba kuna kitu real kinafanyika.