Mange, Maria Sarungi na watetezi wa haki wote wasomewa Albadir!

Obviously, hawa mashehe ubwabwa ni mawakala wa Ibilisi. It’s unconscionable kwamba anayeteka na kuua raia bila sababu wanamsomea dua ya kheri halafu wanaopinga mauaji ya raia wanawasomea al badri. It defies any logic!
 

Kama Mungu ni wa haki itamrudia yeye
 
Dua batili labda shetani atawasiliza

Labda wangesomea albadiri wale walioba uchaguzi bila aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…