Manguli wa uchambuzi waendelea kumpumulia Polepole, Majjid Mjengwa naye asema gesi ya Tanzania ni bei rahisi kuliko Cuba

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,711
Reaction score
31,331
Hakika njia ya mwongo ni fupi, pole pole anaumbuka hadharani.
Screenshot_20250903-142627.jpg
 
Hakika njia ya mwongo ni fupi, pole pole anaumbuka hadharani.
View attachment 3463822
Haisaidii, wala haipunguzi chochote kwenye aliyosema Polepole. Sisi huku kwetu tunamwamini 100% . Hata mseme nini hatuwezi kuwaamini kamwe!

Padre Kitima amepigwa na.kuumizwa mpaka leo hakuna jibu kutoka Serikalini. Mzee Ali kibao Kauawa, tukaambiwa kifo ni kifo tu. Mdude yuko wapi? Soka? Na wengine. Hatuwataki kabisa huku kwetu.
 
Screenshot_20250903-143403.jpg
 
Hakika njia ya mwongo ni fupi, pole pole anaumbuka hadharani.
View attachment 3463822

Wao wanapotupa taarifa, wanatoa vyanzo pia?

Hii issue ya Polepole ina maslahi na wakubwa. Hawawezi kukaa kimya.

Kumbuka tulishadanganywa kupitia magazeti ya Rai kuhusu ukweli wa baadhi ya mambo na hawa waandishi habari.

Tanzania yetu, acha vitu viende vinavyoenda. Vitakuja kukaa sawa. Kama unguli wetu ndio huu, basi bado sana.
 
Huyo Majid hamna kitu nae chawa km machawa wenginee🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
Haisaidii, wala haipunguzi chochote kwenye aliyosema Polepole. Sisi huku kwetu tunamwamini 100% . Hata mseme nini hatuwezi kuwaamini kamwe!

Padre Kitima amepigwa na.kuumizwa mpaka leo hakuna jibu kutoka Serikalini. Mzee Ali kibao Kauawa, tukaambiwa kifo ni kifo tu. Mdude yuko wapi? Soka? Na wengine. Hatuwataki kabisa huku kwetu.

Hayo mambo yenu ya gasi endeleeni nayo.

Sisi tunasubiri tena kupigwa spanner nyingine.

Nawahurumia wanaouza hizo gas za mkubwa maana, kama watanzania wakishituka, kibiashara inaweza kusumbua.

Na wapo wengi hawana hatia....
 
Wao wanapotupa taarifa, wanatoa vyanzo pia?

Hii issue ya Polepole ina maslahi na wakubwa. Hawawezi kukaa kimya.

Kumbuka tulishadanganywa kupitia magazeti ya Rai kuhusu ukweli wa baadhi ya mambo na hawa waandishi habari.

Tanzania yetu, acha vitu viende vinavyoenda. Vitakuja kukaa sawa. Kama unguli wetu ndio huu, basi bado sana.
Pole pole aliitoa chanzo cha taarifa?
 
Kamekondea kana njaa sana katakuwa kanashinda ofisini kwa Rostam kiganga njaa
Yule jamaa ananufaikq na fisiem kuwa madarakani, maana yeye na mkewe Wana vyuo vyao na viproject ,vijicent vya mabeberu wanapata, Sasa amekuwa chawa kamili ili kulinda maslai yake
 
Haisaidii, wala haipunguzi chochote kwenye aliyosema Polepole. Sisi huku kwetu tunamwamini 100% . Hata mseme nini hatuwezi kuwaamini kamwe!

Padre Kitima amepigwa na.kuumizwa mpaka leo hakuna jibu kutoka Serikalini. Mzee Ali kibao Kauawa, tukaambiwa kifo ni kifo tu. Mdude yuko wapi? Soka? Na wengine. Hatuwataki kabisa huku kwetu.
Polepole ana watu wengi wanaomuunga mkono kuliko chawa ibilisi wanufaika wa wizi wa Rasilimali za Nchi akina Rostam Aziz Angela kiziga na magenge yao
 
Back
Top Bottom