TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 15,266
- 25,555
Hiyo angle haiwagusi wakubwa.Yooote aliyosema hilo ndio la kukomalia?
Wewe unadhani huyo Majid mjinga achambue issues zinazowasema wanene!.
Hiyo angle haiwagusi wakubwa.Yooote aliyosema hilo ndio la kukomalia?
Yaani hawa waandishi makanjanja walichokomalia ni gesi tu. Hoja nyingine kibao hasa kuhusu ufisadi nchini kimya. Anyways, labda kwa masuala mengi e yote wanakubaliana na Sloslo.Yooote aliyosema hilo ndio la kukomalia?
Rubbish, kunguni kabisa.Msimtukane Mama wa watu kwa kudanganywa na media, huko kwenye media wananunuliwa waandishi kwa shilingi zisizozidi elfu 20,000 halafu wanamchafua mtu kadri wanavyojisikia, hukumu yao hakika ni mbaya.
Ribbish ni nyinyi mnaoendekeza negativity kwenye kila kinachofanyika.Rubbish, kunguni kabisa.
Rekebisho la heading modes... Lisomeke.. Manguli wa uchawa!!!Hakika njia ya mwongo ni fupi, pole pole anaumbuka hadharani.
View attachment 3463822
Kama serikali ya Cuba imeweka Ruzuku au pia kutoweka Kodi lukuki umiza kama za kwetu huku, why not selling to consumers at that USD 1 ? Lakini pia kabla ya kumpinga na kumushambulia aliyetoa hizo bei za TZS 2,000 /= @ Mtungi, mlitakiwa pia kufahamu kuwa ni Mtungi wa aina gani na wa Uzito gani? Kama kuna Mitungi ya Kilogram Moja kwa nini isiwezekane kuuzia watumiaji wa mwisho kwa TZS 2,000/= ( or about a USD 1 per Bottle)?. Kama bei ya Jumla ya Gesi hapa kwetu TZS ni about USD 0.75 to 0.8 per Kilogram pale Dar kwa importers ikishafika kwenye kwenye Matanks yao pale Terminal, ambako hatuna Ruzuku, kwa nini isiwezekane kwa Cuba ambako Usambazaji unafanywa possible na State owned Companies kama ambavyo TIPER kwa hapa TZ ingekuwa inafanya? So Balozi huenda alikuwa sahihi. Hat kule Egypt bei za Nishati ni subsidized. Hapa kwetu tungekuwa na usimamizi mzuri wa mapato ya serikali yetu, basi hata sisi huku kuwauzia wananchi kwa Bei ya TZS 2,000 kwa Mtungi wa Kilogram moja hilo linawezekana ( sawa na TZS 10,000 kwa Mtungi wa Kilo 5). Serkali ya CHAUMA eti itafanya hivyo mkiwapa Ridhaa this Term. If Plan A dont work, the Alphabet has other 25 Letters !Hakika njia ya mwongo ni fupi, pole pole anaumbuka hadharani.
View attachment 3463822
hii ni namna nzuri ya kuwajua machawa wa wahuniWapuuzi sana hawa watu, na hilo HP alilisema kwa nyongeza tu, jamaa wamekomaa nalo, yale mengine hawaoni.