Manguli wa uchambuzi waendelea kumpumulia Polepole, Majjid Mjengwa naye asema gesi ya Tanzania ni bei rahisi kuliko Cuba

Manguli wa uchambuzi waendelea kumpumulia Polepole, Majjid Mjengwa naye asema gesi ya Tanzania ni bei rahisi kuliko Cuba

Polepole pia aliongelea kuhusu mama mbunge wa EA anayetakiwa kushtakiwa ,,, vipi wachambuzi mnakwama wapi?

FOTOKOLEG-2.png
 
Yooote aliyosema hilo ndio la kukomalia?
Pole Pole kazungumzia Mambo Mengi TU, Lakini Mwandishi wa Zamani kama huyu Majjid mjengwq Ambaye Sasa Umri Ushampita Ata UDC Toka Miaka hiyo Ajawahi kukumbukwa Lakini Analeta Uchawa Wake ili Akumbukwe, Yaani kaona Swala la Gesi tu ndio lakulijibia- Mbona Ajazungumzia Watu wa Mtandao? Mufirisi huyu Mjengwa
 
Polepole aachane na kujibizana na hao watu yeye aendelee na no nondo zake kwa maslahi mapana ya taifa. Kama RA anamnyali Polepole itakuwa hao kina Majjid na huyo Ezekiel.

Polepole yuko kizalendo zaidi kwa taifa lake hao jamaa wao wamechagua kuwa wazalendo wa matumbo yao.
 
Je! Hoja ya msingi ya hotuba za Polepole ni gesi? Kwa ni Itumekomakia gesi tu? Vipi kuhusu kubagazwa na kubanangwa kwa CCM na CCM Mtandao?
 
Je! Hoja ya msingi ya hotuba za Polepole ni gesi? Kwa ni Itumekomakia gesi tu? Vipi kuhusu kubagazwa na kubanangwa kwa CCM na CCM Mtandao?
Asilimia kubwa ya maneno yake yalikuwa takataka tu
 
Haisaidii, wala haipunguzi chochote kwenye aliyosema Polepole. Sisi huku kwetu tunamwamini 100% . Hata mseme nini hatuwezi kuwaamini kamwe!

Padre Kitima amepigwa na.kuumizwa mpaka leo hakuna jibu kutoka Serikalini. Mzee Ali kibao Kauawa, tukaambiwa kifo ni kifo tu. Mdude yuko wapi? Soka? Na wengine. Hatuwataki kabisa huku kwetu.
Mbona ameshindwa kuhoji BEN SAA NANE , na risasi za LISU au ripoti zilishatoka?
 
Hakika njia ya mwongo ni fupi, pole pole anaumbuka hadharani.
View attachment 3463822

Kuna sehemu dar es salaam chips mayai ni elf 18

Na kuna sehemu dar es salaam chips mayai ni elf 2500

Kama ujawahi kufika dar unaweza kubisha,

Hao wachambuzi wote hakuna mtu amewahi kuishi Cuba

Wote wanapata reference kutoka kwenye mitandao

Hata wewe try to Google bei ya chips utaona ni tofauti na maeneo mengine ya dar es salaam

So kama hawajawahi kufika Cuba then watulie tu
 
Mbona wanajibu gesi tu ndio walichokisikia tangu alipoanza kuongea?

Mbona hawajibu kuhusu majizi na watekaji aliowakumbatia bi Mwenda?

Mbona hawajibu hoja kuhusu mauaji ya wakosoaji wa bi Mwenda?

Mbona hawazungumzi bi Mwenda kujipitisha kwa njia haramu kugombea urais matokeo yake ni sasa anashindana na kivuli chake?
20250815_190719.jpg
 
View attachment 3463896
Kulima aaahhh.... Kuzurura tu mpaka njaa inawachapa.
Screenshot_20250903-155409.jpg
 
Back
Top Bottom