ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,860
Wajinga sana hawa jamaaYooote aliyosema hilo ndio la kukomalia?
Wajinga sana hawa jamaaYooote aliyosema hilo ndio la kukomalia?
Hoja zake zote zinajibiwa. Swali moja kuhusu Polepole halijajibu bado. Akiwa sehemu ya awamu ya tano anaongeleaje kuhusu watu waliookotwa pale Coco Beach?.Yooote aliyosema hilo ndio la kukomalia?
Novena inambana slowslow,waendelee kuomba,ili azidi kubanwa.Uongo wake utajulikanaBado tuko na Polepole katika mapambano haya dhidi ya wahuni wanamtandao, wanakimbilia hoja moja kwa kutegemea Google ambayo access ya habari za Cuba wanategemea kuzipata kutoka kwa Wamarekani wenye asili ya Cuba ambao mostly huwalisha taarifa potofu.
Vipi kuhusu hoja nyingine za Polepole ambazo hazihitaji Google kuzijibu? Hili la gesi limevaliwa njuga kwa kuwa linamgusa moja kwa moja ‘mtawala halisi’ wa Tanzania na controller wa uchumi settler muhuni Rostam Aziz, Rostam being a mafioso that he is anajua lazima apambane na sakata la bei ya gesi ndiyo maana anajaza chawa kibao kwenye social media wapambane kwa malipo maalum.
All what Ambassador Polepole was trying to show is that Rostam is exploiting wananchi Using his Taifa gas business!!Nalo neno hili mjue
Novena inafanyq kazi yake,wazidi kuomba,ataumbuka tuHoja zake zote zinajibiwa. Swali moja kuhusu Polepole halijajibu bado. Akiwa sehemu ya awamu ya tano anaongeleaje kuhusu watu waliookotwa pale Coco Beach?.
Asipewe ustaa ambao hana, ni mwepesi sana huyo jamaa.
Anazidi kujianika kadri anavyoendelea kutoa hizi video zake.Novena inafanyq kazi yake,wazidi kuomba,ataumbuka tu
Yawezekana uko sahihi au umetunga tu... mwisho wa siku its politics..Huyo Mama alinyang'anywa tenda ya kuwavalisha polisi na hayati JPM baada ya kuingia ikulu.
Jamaa yake Ngosha akaimiliki tenda hiyo aliyoporwa huyo Mama na JPM. Lakini wachina wakamwambia JPM wapewe pia na tenda ya kuwavalisha askari magereza, ndio JPM akaenda kuichukua tenda ile mbele ya kamera za runinga katika ule mkutano rasmi.
Akaonekana shujaa kumbe alipora tenda ya Mama Kizigha na kuwapa wachina wake ambao mdogo wake ni sehemu ya biashara hiyo.
Alipokufa JPM huyo mama akaanza kupigania upya tenda zote mbili alizoporwa na hayati JPM. Akaenda kwa mwanasheria mkuu na vielelezo vyote akaonekana anachodai ni haki yake hivyo amerudishiwa.
Kuchafuliwa jina la huyo mama ukiwa unadandia treni kwa mbele unaweza kudhani ni haki kumbe hayati JPM alimdhulumu akitumia media kujisafisha moja kwa moja.
JPM alikuwa mwanasiasa mwenye akili nyingi (a clever politician). Alijua kuudanganya umma kwa hisia za kizalendo lakini nyuma ya pazia yeye na jamaa yake waliendelea kukusanya utajiri mwingi.
Tunazidi kung'amua ubaradhuli wa bi Urojo na genge lake la wahuni wenzake, wanamtandao.Novena imemkamata slow slow,waendelee kuomba,mtaona uongo wake mwingi
Alikuwa mwanasiasa mwerevu sana.Yawezekana uko sahihi au umetunga tu... mwisho wa siku its politics..
Awamu ya 5, samia alikua na cheo kuliko hata Polepole, je umemuuliza samia alichukua hatua gani?Hoja zake zote zinajibiwa. Swali moja kuhusu Polepole halijajibu bado. Akiwa sehemu ya awamu ya tano anaongeleaje kuhusu watu waliookotwa pale Coco Beach?.
Asipewe ustaa ambao hana, ni mwepesi sana huyo jamaa.
Umemsikia Samia akianzisha mada yoyote mitandaoni?. Polepole anasumbuliwa na wivu na kichwani kwake anao ule ujinga wa 'mfumo dume' hataki kuongozwa na mwanamke, amlaumu jamaa yake hayati JPM aliyeamua kumpa nafasia SSH akawa mgombea mwenza wake.Awamu ya 5, samia alikua na cheo kuliko hata Polepole, je umemuuliza samia alichukua hatua gani?
Kabisa..Kwa hiyo, hilo ndo mmeona la kukomalia kila muda?...
Si mujibu na mengine ...
Wore ndio hao hao!!Oryxy?
Akamsikilize tena, naona alikurupuka, akasikilize ufafanuzi aliopewa kimwaga.Hakika njia ya mwongo ni fupi, pole pole anaumbuka hadharani.
View attachment 3463822