πππ zipo wilaya ya Ilala mkuu. Kuna mwana alidadavua kwamba wilaya ya Ilala ipo vizuri kibiashara ndio maana watu wanatoka maeneo mbali mbali ya mji kuja kufanya biashara katika wilaya hiyo huko kariakoo, posta, feri kivukoni, karume, buguruni nk.Case CLosed.
Kariakoo na Kivukoni zipo wilaya gani?
Unazungumzia majengo ya PSSSF Taasisi ambayo ina michango ya watanzania wote hata walioko Katavi.
Hiyo TPA nayo ni Mali ya Umma.
Nadhani tungeweka vigezo. Kama ni residential areas, pesa kuzunguka , huduma za maji, afya , sewage system n.k.
Hizi akili zako za kuvukia barabara unadhani majengo mazuri ndio welfare Bora ya raia wakati unashi uswekeni. Lete Vigezo vinavyokugusa wewe raia kama housing, Ulinzi na usalama, accessibility ya maeneo kama yakitokea majanga ya Moto n.k. hivyo vigezo ndio vitumike kulinganisha maeneo.
Kwa unayoandika ndio akili za kiafrica unafurahia kwenda kupiga bicha Posta halafu unarudi kwako uswekeni kwenye nyumba iliyojengwa kwenye kiwanja cha
Umeongea kitaalamu sana, Ilala ndio jiji,makazi safi Kinondoni game imeisha[emoji3][emoji3][emoji3] zipo wilaya ya Ilala mkuu. Kuna mwana alidadavua kwamba wilaya ya Ilala ipo vizuri kibiashara ndio maana watu wanatoka maeneo mbali mbali ya mji kuja kufanya biashara katika wilaya hiyo huko kariakoo, posta, feri kivukoni, karume, buguruni nk.
Ila akasema kwa kuishi sehemu nzuri yenye sifa nyingi tajwa hapo juu ni Kinondoni. Ndo maana utakuta wafanya biashara wengi wenye mapesa yao wamejenga mabangaloo ya maana sana katika wilaya hiyo ya Kinondoni kuliko wilaya yoyote ile ya Dar es salaam. Hapa hajazungumzia viongozi wa serikali na wale wastaafu ambao wengi wamejichimbia Kinondoni, mabalozi wa nchi mbali mbali, wabunge nk.
πππ zipo wilaya ya Ilala mkuu. Kuna mwana alidadavua kwamba wilaya ya Ilala ipo vizuri kibiashara ndio maana watu wanatoka maeneo mbali mbali ya mji kuja kufanya biashara katika wilaya hiyo huko kariakoo, posta, feri kivukoni, karume, buguruni nk.
Ila akasema kwa kuishi sehemu nzuri yenye sifa nyingi tajwa hapo juu ni Kinondoni. Ndo maana utakuta wafanya biashara wengi wenye mapesa yao wamejenga mabangaloo ya maana sana katika wilaya hiyo ya Kinondoni kuliko wilaya yoyote ile ya Dar es salaam. Hapa hajazungumzia viongozi wa serikali na wale wastaafu ambao wengi wamejichimbia Kinondoni, mabalozi wa nchi mbali mbali, wabunge nk.
Ok sawa mkuuUkisoma huo mwandiko wangu vizuri nme assume, mbezi beach nmekaa napafahamu vizuri na ninauzoefu na ishu za ujenzi ndio maana nmeweka kama standard...na nyumba nyingi za mbezi zilijengwa muda kidogo wakati vitu bei zilikua hazijapaa sana
No japokuwa temeke wengi tumeitenga humu, lkn kwa hili tuwe wakweli. Bandari ya Dar ipo katika wilaya ya Temeke mkuu. Hila kila mtu analijua.Bandari ipo Ilala
Hakika mkuu. Mimi ni wa Kinondoni ila nakubali kwamba Ilala ipo vizuri kibiashara na kimzunguko wa pesa hasa kwa maeneo ya town kama vile k'koo, mnazi mmoja, posta zote mbili mpya+zamani, kivukoni feri, shule ya uhuru, karume, ilala yenyewe, buguruni nk.Umeongea kitaalamu sana, Ilala ndio jiji,makazi safi Kinondoni game imeisha
Labda kama unamaanisha chuo cha bandari kule mwembe yanga mkuu, Ila bandari ipo wilaya ya ilala tena (CBD) . Tena makao makuu ya bandari yapo pale jirani kabisa na ofisi za hamashauri ya jiji la IlalaNo japokuwa temeke wengi tumeitenga humu, lkn kwa hili tuwe wakweli. Bandari ya Dar ipo katika wilaya ya Temeke mkuu. Hila kila mtu analijua.
Kivukoni, Station na pale kwa kupandia boat za kwenda Zanzibar ndio Ilala.
Kifupi Kinondoni ndio inaongoza katika mtenenge huu, huku tukifuatiwa na Ilala ambao kiasili ni watani zetu wa kimaendeleo.Acha kufananisha kinondoni na vitu vya ajabu ajabu!!
Najivunia kuzaliwa kinondoni
Hiyo ubungo bado ni kinondoni wapuuzi WAnasiasa uchwara waliimega wapate sehemu pa kulaKifupi Kinondoni ndio inaongoza katika mtenenge huu, huku tukifuatiwa na Ilala ambao kiasili ni watani zetu wa kimaendeleo.
Ubungo, Kigamboni na Temeke wao chali wamekosa watetezi. Hata yule jamaa wa Goba leo kaingia mitini.
Mkuu bandari ya Dar es salaam ipo katika kata ya Kurasini, na kata ya Kurasini ipo katika wilaya ya Temeke.Labda kama unamaanisha chuo cha bandari kule mwembe yanga mkuu, Ila bandari ipo wilaya ya ilala tena (CBD) . Tena makao makuu ya bandari yapo pale jirani kabisa na ofisi za hamashauri ya jiji la Ilala
Nimekuwekea kiambatisho embu jifunze inaelekea huielewi jografia ya hilo eneo.
πππ Kama ilivyomegwa Kigamboni.Hiyo ubungo bado ni kinondoni wapuuzi WAnasiasa uchwara waliimega wapate sehemu pa kula
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ubungo ipo nyuma kuliko wilaya zote yan hata Kigamboni imeiacha ubungo kwa mbali. Inasikitisha sana.wilaya ya Ubungo ipo nyuma sana, nadhani hakuna viongozi weledi na wabunifu.
Mkurugenzi na idara zake wote wamelala ofisini!!!
Kuanzia ilipo Ofisi ya Halmashauri maeneo ya Luguruni hadi Kituo kikuu cha Polisi maeneo ya gogoni Kikuvya bado hakujapangika kabisaaa,
ilitakiwa maeneo hayo yawe na miundombinu safi, mpqngilio safi lakini wapi ovyo kabisa.
maafisa mipango miji wa wilaya ya ubungo wmelala fofofooo
Mwenye mada, anataka kujua wilaya iliyoendelea, siyo nyumba za makazi.Hahahaha mwana analinganisha majengo ya ofisi za serikali na nyumba za kuishi watu, badala ya kulinganisha mitaa kwa mitaa ambayo inaishi watu wa kawaida.
Na mara nyingi watu wa Ilala hukimbilia kujisifu kupitia ofisi za serikali bank za serikali na mashirika mbali mbali ya umma ambavyo hata mimi na wewe pia tunahusika na ofisi hizo.