Akilihuru
JF-Expert Member
- May 20, 2022
- 1,512
- 2,980
- Thread starter
- #121
😀😀😀 zipo wilaya ya Ilala mkuu. Kuna mwana alidadavua kwamba wilaya ya Ilala ipo vizuri kibiashara ndio maana watu wanatoka maeneo mbali mbali ya mji kuja kufanya biashara katika wilaya hiyo huko kariakoo, posta, feri kivukoni, karume, buguruni nk.Case CLosed.
Kariakoo na Kivukoni zipo wilaya gani?
Ila akasema kwa kuishi sehemu nzuri yenye sifa nyingi tajwa hapo juu ni Kinondoni. Ndo maana utakuta wafanya biashara wengi wenye mapesa yao wamejenga mabangaloo ya maana sana katika wilaya hiyo ya Kinondoni kuliko wilaya yoyote ile ya Dar es salaam. Hapa hajazungumzia viongozi wa serikali na wale wastaafu ambao wengi wamejichimbia Kinondoni, mabalozi wa nchi mbali mbali, wabunge nk.