Manispaa ipi ya Dar imeendelea zaidi?

Elewa mada kwanza, kwani hata hizo nyumba binafsi ni za kwenu nyie, wanaomiliki hata hamuwajui, alafu unavimba kichwa, ukifa wanao wataridhi hizo.

Mwenye mada anatakujua wilaya iliyoendelea, na maendeleo hayahusishi makazi binafsi pekee, bali hata huduma za kijamii.
 
NGOJA NIKUELEWESHE NI HIVI HQ YA BANDARI PAMOJA NA OFISI KUU ZA BANDARI YA DSM ZIPO WILAYA YA ILALA, AIDHA BAADHI VITENGO VYA BANDARI YA DAR ES SAAAM VIPO WIAYA NYINGINE MFANO KITENGO CHA KOJ (KURASINI OIL JET) KURAASIN ICD ZA TICS NA NYINGINE BINAFSI NYINGI ZIPO KURASINI AU TEMEKE, KUNA IKTENGO CHA FLOW METER AMBAPO KUMEUNGANISHWA BOMBA LA TAZAMA HII IPO KIGAMBONI, KUNA KITENGO CHA MAKONTENA KIPO UBUNGO KUNA KITENGO KINIGNE KIPO KWALE MKOA WA PWANI
KWA KUMALIZIA HQ YA BANDARI , MAKAO MAKUU YA BANDARI YA DAR ES SAAAM, BERTH NAMBA 1 HADI 11 ZOTE ZIPO ILALA
 
Apa umetoa elimu nzuri,lakini kunawatu humu ndani hawataki elimu wamekuja kubishabisha tu story iwe ndefu
 
Ok nimekusoma mkuu
 
Daah...umetusimanga Sana mkuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Daah...umetusimanga Sana mkuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Angalau Temeke kidogo mnajitokeza mmoja mmoja, Ubungo na Kigamboni hakuna hata mmoja aliejitokeza kuzitetea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ubungo ipo nyuma kuliko wilaya zote yan hata Kigamboni imeiacha ubungo kwa mbali. Inasikitisha sana.
na hii inatokana na uongozi mbovu uliopo katika manispaa ya ubungo, kunahitajika viongozi wenye ari ya kuleta maendeleo katika eneo lake, salute kwa DC wa Kinondoni
 
Angalau Temeke kidogo mnajitokeza mmoja mmoja, Ubungo na Kigamboni hakuna hata mmoja aliejitokeza kuzitetea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sisi wanatemeke hasa Wana mbagala tumeshakubali.. kwenye battle na wilaya nyingine za Dar Hatuwezi kutoboa, alichosema ni ukweli kabisa...wilaya ya temeke Ina idadi kubwa ya watu wa kipato Cha chini ukilinganisha na wilaya zingine za Dar
 
Hahaha kwa kukubali kwako huku kunaonesha dhahiri kuwa wew ndio mshindani wa kweli. Kuna msemo kuwa asiekubali kushindwa sio mshindani.
Sasa naona wew umejitenga na msemo huo mkuu.
 
na hii inatokana na uongozi mbovu uliopo katika manispaa ya ubungo, kunahitajika viongozi wenye ari ya kuleta maendeleo katika eneo lake, salute kwa DC wa Kinondoni
Kweli kabisa mkuu DC wa Ubungo kashindwa hata kusimamia ujenzi wa barabara zinazotoka barabara kuu ya Morogoro road kwenda ndan ndan huko kibangu, kimara, mbezi nk.

Tofauti na Kinondoni ambapo mpaka mw/nyamala huko nyuma ya hospital kuna barabara za lami zimepita na bado zingine za kutoka makumbusho nk.

Angalia alivyozitelekeza barabara za mitaani kule sinza.
 
Ikitokea mtu ambae atakuwa hakukuelewa hapa, basi ujue atakuwa ana lake jambo.
Umetoa ufafanuzi mzuri sana.
 
Ilala iko vizuri, kuna mitaa kama upanga well organized na kuna apartments nying nadhani upanga inaweza kubattel na baadhi ya residential area za kinondoni kama vile msasani nk ila sio ufanye battle chanika na masasani ni kuwaonea
 
Kweli kabisa, sio haki kuilinganisha chanika na msasani au mikocheni.

Chanika inafaa upambanishwe na mwananyamala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…