Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,550
- 5,379
Elewa mada kwanza, kwani hata hizo nyumba binafsi ni za kwenu nyie, wanaomiliki hata hamuwajui, alafu unavimba kichwa, ukifa wanao wataridhi hizo.Unazungumzia majengo ya PSSSF Taasisi ambayo ina michango ya watanzania wote hata walioko Katavi.
Hiyo TPA nayo ni Mali ya Umma.
Nadhani tungeweka vigezo. Kama ni residential areas, pesa kuzunguka , huduma za maji, afya , sewage system n.k.
Hizi akili zako za kuvukia barabara unadhani majengo mazuri ndio welfare Bora ya raia wakati unashi uswekeni. Lete Vigezo vinavyokugusa wewe raia kama housing, Ulinzi na usalama, accessibility ya maeneo kama yakitokea majanga ya Moto n.k. hivyo vigezo ndio vitumike kulinganisha maeneo.
Kwa unayoandika ndio akili za kiafrica unafurahia kwenda kupiga bicha Posta halafu unarudi kwako uswekeni kwenye nyumba iliyojengwa kwenye kiwanja cha ukubwa WA 12 Kwa 8.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mwenye mada anatakujua wilaya iliyoendelea, na maendeleo hayahusishi makazi binafsi pekee, bali hata huduma za kijamii.