Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Kiswahili hakijitoshelezi kwenye upande wa Elimu. Shule ya msingi kiswahili hakafu sekondari English sasa hapo si ujinga unapoanzia.Sasa mtanielewa ninaposema mara kwa mara kuwa adui mkubwa ya Watanzania ni ujinga. Watanzania bado ni wajinga sana tena sana..
Shule zetu ni za kusomesha ujinga.
Watanzania weusi ndio watu wa kuwaamini?? Are you serious? Hao mafisadi wakubwa wakubwa wanaohujumu nchi ndio Watu wa kuwaamini?Wana hoja wahindi wengi sio wazalendo,wako huku kuchuma tu ila wana passport au nasaba ,mapenzi na nchi zingine,wahindi sio watu wa kuwaamini
Labda wangeuliza,Manji kazikwa kiislamu,ila kwa nini kazikwa na jeneza badala ya Sanda!!??Mkuu mtu ukimaliza darasa la saba unatakiwa uwe umefahamu kwa kiwango kikubwa uraia wa Tanzania unapatikanaje, pia unatakiwa ufahamu kuzikiwa nchi fulani hakukufanyi au hakuna uhusiano wowote na uraia.
Na ndio maana Chura alisema Katiba ni 'kijitabu' tu..Nimeangalia comments za ukurasa mmojawapo wa mitando ya kijamii kuhusu Manji kuzikwa Florida Marekani nimeshangaa kuona kundi kubwa sana la raia Watanzania hawana elimu kabisa kuhusu vigezo vya kuwa raia wa nchi hii au kuna ubaguzi mkubwa sana kwa raia walio wengi.
Wengi katika ukurasa huo wameshangazwa sana na kuuliza maswali kwamba kumbe Manji hakuwa Mtanzania?! Yani tuna raia wengi wanaojua kwamba Mtanzania hawezi kuzikwa nje ya Tanzania akifariki! Kwamba kigezo kimojawapo cha kuthibitisha Utanzania wako ni kuzikiwa katika ardhi ya Tanzania!
Sasa kama mtu amefikia kumiliki smartphone na hajui hata vigezo vya uraia wa nchi yake hao wengine watakuwa anafahamu nini katika masuala ya haki za uraia na mambo mazito ya katiba kwa ujumla?!
Itoshe kusema tuna safari ndefu kama nchi kuhusu katiba na elimu ya uraia.
Umeongea hisia zako lakini hujaelimisha juu ya uraia pacha, hususan Tanzania.Nimeangalia comments za ukurasa mmojawapo wa mitando ya kijamii kuhusu Manji kuzikwa Florida Marekani nimeshangaa kuona kundi kubwa sana la raia Watanzania hawana elimu kabisa kuhusu vigezo vya kuwa raia wa nchi hii au kuna ubaguzi mkubwa sana kwa raia walio wengi.
Wengi katika ukurasa huo wameshangazwa sana na kuuliza maswali kwamba kumbe Manji hakuwa Mtanzania?! Yani tuna raia wengi wanaojua kwamba Mtanzania hawezi kuzikwa nje ya Tanzania akifariki! Kwamba kigezo kimojawapo cha kuthibitisha Utanzania wako ni kuzikiwa katika ardhi ya Tanzania!
Sasa kama mtu amefikia kumiliki smartphone na hajui hata vigezo vya uraia wa nchi yake hao wengine watakuwa anafahamu nini katika masuala ya haki za uraia na mambo mazito ya katiba kwa ujumla?!
Itoshe kusema tuna safari ndefu kama nchi kuhusu katiba na elimu ya uraia.
Sikusoma shule za kujazana ujinga za "Swahili medium". Kuandika na kusoma Kiswahili kwa kiwango kikubwa nimejifundisha hapa JF.Kiswahili hakijitoshelezi kwenye upande wa Elimu. Shule ya msingi kiswahili hakafu sekondari English sasa hapo si ujinga unapoanzia.
Na serikali za CCM kipindi chote hiki wala haziweki juhudi katika kufundisha masomo ya uraia nchini ili iendelee kulea wajinga na wapumbavu wanaowapa kura kwa vitenge na ubwabwa kipindi cha kampeni na chaguzi. PatheticNimeangalia comments za ukurasa mmojawapo wa mitando ya kijamii kuhusu Manji kuzikwa Florida Marekani nimeshangaa kuona kundi kubwa sana la raia Watanzania hawana elimu kabisa kuhusu vigezo vya kuwa raia wa nchi hii au kuna ubaguzi mkubwa sana kwa raia walio wengi.
Wengi katika ukurasa huo wameshangazwa sana na kuuliza maswali kwamba kumbe Manji hakuwa Mtanzania?! Yani tuna raia wengi wanaojua kwamba Mtanzania hawezi kuzikwa nje ya Tanzania akifariki! Kwamba kigezo kimojawapo cha kuthibitisha Utanzania wako ni kuzikiwa katika ardhi ya Tanzania!
Sasa kama mtu amefikia kumiliki smartphone na hajui hata vigezo vya uraia wa nchi yake hao wengine watakuwa anafahamu nini katika masuala ya haki za uraia na mambo mazito ya katiba kwa ujumla?!
Itoshe kusema tuna safari ndefu kama nchi kuhusu katiba na elimu ya uraia.
Kwa hiyo unakiri kuwa shule umesomea ujinga?Kiswahili hakijitoshelezi kwenye upande wa Elimu. Shule ya msingi kiswahili hakafu sekondari English sasa hapo si ujinga unapoanzia.
Bahati nzuri mimi siyo Mtanzania.Ni kweli aisee na umelidhihirisha hilo kwako
Ndio nyinyi mbuzi mliofunguliwa hii madaWana hoja wahindi wengi sio wazalendo,wako huku kuchuma tu ila wana passport au nasaba ,mapenzi na nchi zingine,wahindi sio watu wa kuwaamini
... kwa maelezo haya nakufananisha❣️Sikusoma shule za kujazana ujinga za "Swahili medium". Kuandika na kusoma Kiswahili kwa kiwango kikubwa nimejifundisha hapa JF.
Ni kama Nyerere, alipokuja Dar ndiyo wazee wa Dar wakamfundisha Kiswahili.
Unalo?
Sehemu kubwa ya biashara za Manji zilikuwa Tanzania, alikuwa analipa kodi, alikuwa mfadhili wa Yanga na zaidi sana alikuwa hadi diwani wa Mbagala kupitia CCM.Inawezekana hawa Watanzania wana Jambo ila wameshindwa kuliweka vizuri ili liweze kueleweka.
Kufa, Kuzikwa Marekani, kuzaliwa na kukulia Marekani sio shida.
Shida inaanzia pale wanapojifanya Watanzania kama mimi na wewe lakini uhalisia uliopo ni Utanzania wa maslahi lakini mioyo yao haipo hapa nakupaona kama kwao.
Vipi, Watanzania wangapi unaowafahamu waliochukuwa Uraia wa nje ya Tanzania?Wana hoja wahindi wengi sio wazalendo,wako huku kuchuma tu ila wana passport au nasaba ,mapenzi na nchi zingine,wahindi sio watu wa kuwaamini
Nani watu wa " kuwaamini"?Wana hoja wahindi wengi sio wazalendo,wako huku kuchuma tu ila wana passport au nasaba ,mapenzi na nchi zingine,wahindi sio watu wa kuwaamini
Manji ni Muislam na Uislam unatufundisha na kutuhimiza mtu kuzikwa alipokufa, ndiyo mara chache sana utaona Waislam wakisafarishwa mbali kuzikwa.Ungetoa elimu kidogo kuhusu mazishi ya Yusuph Manji huko USA ili wengi wajifunze.
Arumeru huko kuna mtu kavunja rekodi ya Yesu ya "kufufuka", Yesu ilikuwa siku tatu, kwa wanaoamini kuwa alikufa, Mmeru kapiga mwezi kaburini kabla hajafufuka.Mna unakika kafa kweli? Au Balali type?