Manji kuzikwa Marekani kumedhihirisha kiwango kikubwa cha ujinga. Tuna safari ndefu kama nchi katika katiba na elimu ya uraia

Inawezekana hawa Watanzania wana Jambo ila wameshindwa kuliweka vizuri ili liweze kueleweka.

Kufa, Kuzikwa Marekani, kuzaliwa na kukulia Marekani sio shida.
Shida inaanzia pale wanapojifanya Watanzania kama mimi na wewe lakini uhalisia uliopo ni Utanzania wa maslahi lakini mioyo yao haipo hapa nakupaona kama kwao.
 
Mkuu mtu ukimaliza darasa la saba unatakiwa uwe umefahamu kwa kiwango kikubwa uraia wa Tanzania unapatikanaje, pia unatakiwa ufahamu kuzikiwa nchi fulani hakukufanyi au hakuna uhusiano wowote na uraia.
Labda wangeuliza,Manji kazikwa kiislamu,ila kwa nini kazikwa na jeneza badala ya Sanda!!??
 
Nimeangalia comments za ukurasa mmojawapo wa mitando ya kijamii kuhusu Manji kuzikwa Florida Marekani nimeshangaa kuona kundi kubwa sana la raia Watanzania hawana elimu kabisa kuhusu vigezo vya kuwa raia wa nchi hii au kuna ubaguzi mkubwa sana kwa raia walio wengi.

Wengi katika ukurasa huo wameshangazwa sana na kuuliza maswali kwamba kumbe Manji hakuwa Mtanzania?! Yani tuna raia wengi wanaojua kwamba Mtanzania hawezi kuzikwa nje ya Tanzania akifariki! Kwamba kigezo kimojawapo cha kuthibitisha Utanzania wako ni kuzikiwa katika ardhi ya Tanzania!

Sasa kama mtu amefikia kumiliki smartphone na hajui hata vigezo vya uraia wa nchi yake hao wengine watakuwa anafahamu nini katika masuala ya haki za uraia na mambo mazito ya katiba kwa ujumla?!

Itoshe kusema tuna safari ndefu kama nchi kuhusu katiba na elimu ya uraia.
Na ndio maana Chura alisema Katiba ni 'kijitabu' tu..
 
Umeongea hisia zako lakini hujaelimisha juu ya uraia pacha, hususan Tanzania.
 
Wanakuja kuwazubaisha na kelele za simba na Yanga,......... na wengine tayari hadi familia zipo nje ya nchi we unafata mkumbo mwenzio kikiumana huyo ndani ya pipa yuesiei au canada,................. ila kupanga ni kuchagua
 
Kiswahili hakijitoshelezi kwenye upande wa Elimu. Shule ya msingi kiswahili hakafu sekondari English sasa hapo si ujinga unapoanzia.
Sikusoma shule za kujazana ujinga za "Swahili medium". Kuandika na kusoma Kiswahili kwa kiwango kikubwa nimejifundisha hapa JF.

Ni kama Nyerere, alipokuja Dar ndiyo wazee wa Dar wakamfundisha Kiswahili.

Unalo?
 
Nimeangalia comments za ukurasa mmojawapo wa mitando ya kijamii kuhusu Manji kuzikwa Florida Marekani nimeshangaa kuona kundi kubwa sana la raia Watanzania hawana elimu kabisa kuhusu vigezo vya kuwa raia wa nchi hii au kuna ubaguzi mkubwa sana kwa raia walio wengi.

Wengi katika ukurasa huo wameshangazwa sana na kuuliza maswali kwamba kumbe Manji hakuwa Mtanzania?! Yani tuna raia wengi wanaojua kwamba Mtanzania hawezi kuzikwa nje ya Tanzania akifariki! Kwamba kigezo kimojawapo cha kuthibitisha Utanzania wako ni kuzikiwa katika ardhi ya Tanzania!

Sasa kama mtu amefikia kumiliki smartphone na hajui hata vigezo vya uraia wa nchi yake hao wengine watakuwa anafahamu nini katika masuala ya haki za uraia na mambo mazito ya katiba kwa ujumla?!

Itoshe kusema tuna safari ndefu kama nchi kuhusu katiba na elimu ya uraia.
Na serikali za CCM kipindi chote hiki wala haziweki juhudi katika kufundisha masomo ya uraia nchini ili iendelee kulea wajinga na wapumbavu wanaowapa kura kwa vitenge na ubwabwa kipindi cha kampeni na chaguzi. Pathetic
 
Sikusoma shule za kujazana ujinga za "Swahili medium". Kuandika na kusoma Kiswahili kwa kiwango kikubwa nimejifundisha hapa JF.

Ni kama Nyerere, alipokuja Dar ndiyo wazee wa Dar wakamfundisha Kiswahili.

Unalo?
... kwa maelezo haya nakufananisha❣️
😍🛩️3
 
Inawezekana hawa Watanzania wana Jambo ila wameshindwa kuliweka vizuri ili liweze kueleweka.

Kufa, Kuzikwa Marekani, kuzaliwa na kukulia Marekani sio shida.
Shida inaanzia pale wanapojifanya Watanzania kama mimi na wewe lakini uhalisia uliopo ni Utanzania wa maslahi lakini mioyo yao haipo hapa nakupaona kama kwao.
Sehemu kubwa ya biashara za Manji zilikuwa Tanzania, alikuwa analipa kodi, alikuwa mfadhili wa Yanga na zaidi sana alikuwa hadi diwani wa Mbagala kupitia CCM.
 
Back
Top Bottom