Manula out Kariakoo derby ya kesho

Manula out Kariakoo derby ya kesho

Kwani yeye Shabiki wa Utopolo? Range mwenyewe shabiki wa Simba kwahiyo yeye pia mbumbumbu.

Lakini pia yaweza kuwa ye ndio mbumbumbu alishindwa kuwaelewa Simba
Yeye amewahi kuwa leader pale ukoloni ....so anawajua
 
MANULA OUT KARIAKOO DERBY YA KESHO

Kuna uwezekano mkubwa Aishi Manula akakosekana kwenye derby kesho kutokana na changamoto ya majeraha ambapo huenda akafanyiwa upasuaji wiki mbili baada ya hivi sasa.

Uwezekano mkubwa ni Ally Salum akasimama langoni kesho kutokana na ukweli kwamba Beno Kakolanya ameshamalizana na Singida Big Stars na tetesi zikisema atajiunga nao msimu ujao.

Maoni yangu
Japo Manula angekuwepo tungepigwa ila sio nyingi but kuto kuwepo Manula kichapo heavyweight kinakuja

WANASIMBA Mnasemaje hapa?

@jr_farhanjr

View attachment 2588424
Tena mambumbumbu si kidogo
 
Back
Top Bottom