Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga kwa kusifia vitu visivyo na msingi!! Huyo Aziz Ki hayo mashuti yake yamemsadia kufunga mabao mangapi mpaka sasa??Afadhali maana mashuti ya Azik [emoji360] yanaweza kumuua
Zile 6 -0 mpaka leo mnazichungulia kwa mbaali.Magoli 8
Mbumbumbu wenzie. Kama kasema mashabiki wote ina maana hata yeyeYeye amewahi kuwa leader pale ukoloni ....so anawajua
Dogo akitulia anaweza kuwa brand kubwa anatakiwa kuonyesha uwezo wake woteMechi ni nzito kuliko umri wake
Tena mambumbumbu si kidogoMANULA OUT KARIAKOO DERBY YA KESHO
Kuna uwezekano mkubwa Aishi Manula akakosekana kwenye derby kesho kutokana na changamoto ya majeraha ambapo huenda akafanyiwa upasuaji wiki mbili baada ya hivi sasa.
Uwezekano mkubwa ni Ally Salum akasimama langoni kesho kutokana na ukweli kwamba Beno Kakolanya ameshamalizana na Singida Big Stars na tetesi zikisema atajiunga nao msimu ujao.
Maoni yangu
Japo Manula angekuwepo tungepigwa ila sio nyingi but kuto kuwepo Manula kichapo heavyweight kinakuja
WANASIMBA Mnasemaje hapa?
@jr_farhanjr
View attachment 2588424
Simba 3 yanga 1Kinyume chake
Yanga 4........kolo 1
Usijijuruhu!! Kuna utopolo asiyejua kilichowapata kupigwa 6 - 0??Zipi hizo mkuu