Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi binti kukafiniwa kumekuathiri.Umekimbia na chupi mkononi.Double G imenata naiona kunako.MANULA OUT KARIAKOO DERBY YA KESHO
Kuna uwezekano mkubwa Aishi Manula akakosekana kwenye derby kesho kutokana na changamoto ya majeraha ambapo huenda akafanyiwa upasuaji wiki mbili baada ya hivi sasa.
Uwezekano mkubwa ni Ally Salum akasimama langoni kesho kutokana na ukweli kwamba Beno Kakolanya ameshamalizana na Singida Big Stars na tetesi zikisema atajiunga nao msimu ujao.
Maoni yangu
Japo Manula angekuwepo tungepigwa ila sio nyingi but kuto kuwepo Manula kichapo heavyweight kinakuja
WANASIMBA Mnasemaje hapa?
@jr_farhanjr
View attachment 2588424
Vipi kimwana bado una kimwasho?Shida ni mechi anayoenda kukutana nayo
Bila shaka ulimaanisha mabomu ya Kibu D.Hata golini wangekuwemo manula na mwenzake bado hawawezi kudaka mabomu. Saizi wananchi tunarusha mabomu tu
[emoji23][emoji23][emoji23]Sisi kama wananchi hatutaki mambo kama hizi .tuna taka mje kamili msije anza visingizio iki wapendeza muingia 13 uwanjani
TumeyaonaHata golini wangekuwemo manula na mwenzake bado hawawezi kudaka mabomu. Saizi wananchi tunarusha mabomu tu
Wewe nani mliokuwa mnataka Simba Sc itimie?Hatutaki.......!!!!! sisi tunataka wote watimie hatutaki visingizio.
Maoni yatabaki kuwa maoniMaoni yangu
Japo Manula angekuwepo tungepigwa ila sio nyingi but kuto kuwepo Manula kichapo heavyweight kinakuja
Mleta uzi atakuwa kanywa diazepumHivi huu uzi bado unapumua bado???? 😂😂😂😂
Hisia za Uto zipo negative sana haziendani na uhalisiaMleta uzi atakuwa kanywa diazepum
Shetani viwili vimetosha au dozi iongezwe?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ilitakiwa tuwapige khamsa washike adabu mbwa hawaShetani viwili vimetosha au dozi iongezwe?
Vipi ume i feel au tuongeze dozi?Kibu DVp tuwape kipa wetu si tucheze bila kipa.maana kichapo aki kwepeki
Uyo atakuwa mortuary muda huuVipi ume i feel au tuongeze dozi?Kibu D
Hakuna shida yoyote, hiyo mechi hata kabwili alishawahi kuicheza na wakashindaShida ni mechi anayoenda kukutana nayo