Manula out Kariakoo derby ya kesho

Manula out Kariakoo derby ya kesho

Duh
 

Attachments

  • 11.jpeg
    11.jpeg
    68.7 KB · Views: 1
Vp tuwape kipa wetu si tucheze bila kipa.maana kichapo aki kwepeki
 
MANULA OUT KARIAKOO DERBY YA KESHO

Kuna uwezekano mkubwa Aishi Manula akakosekana kwenye derby kesho kutokana na changamoto ya majeraha ambapo huenda akafanyiwa upasuaji wiki mbili baada ya hivi sasa.

Uwezekano mkubwa ni Ally Salum akasimama langoni kesho kutokana na ukweli kwamba Beno Kakolanya ameshamalizana na Singida Big Stars na tetesi zikisema atajiunga nao msimu ujao.

Maoni yangu
Japo Manula angekuwepo tungepigwa ila sio nyingi but kuto kuwepo Manula kichapo heavyweight kinakuja

WANASIMBA Mnasemaje hapa?

@jr_farhanjr

View attachment 2588424
Vipi binti kukafiniwa kumekuathiri.Umekimbia na chupi mkononi.Double G imenata naiona kunako.
 
Huyu bado yupo??au kala nyoya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom