Manunuzi ya umeme wa Ethiopia ni wizi tusiwe wajinga!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Ni wizi na kutafuta njia za kuiba tu. Umeme wa kusini mwa Tanzania unakuaje mbali kuliko umeme wa Ethiopia?

Lakini pili kuna bomba la gas toka mtwara kwanini wasipeleke bomba kaskazini la gas halafu Dar wakatumia umeme wa bwawa!?

Ukweli ndugu zangu ni mazingira ya wizi kwa watoto na ndugu wa vigogo kupewa tender za ajabu ajabu ili wanufaishe familia.

Tanzania haitakiwi kununua umeme wakati wana bwawa na bomba ya gas. Yaani ni maajabu na wizi wa wazi. Tutasikia mtu kapewa tender

Mtoto wa Mama Samia ana kampuni ya umeme imepewa kazi huko Uganda sasa wanamtafutia deal hapa hakuna shida ya umeme. Bomba ya gas lingeweza kupelekwa hadi Nairobi na sisi ndiyo tukauza umeme lakini huko njiani wote wana nufaiaka

1741577322675.jpeg

See new posts

Conversation​

Yoweri K Museveni
@KagutaMuseveni

I met Mr. Abdul Halim Hafidah Ameir and his delegation from Tanzania. We discussed future cooperation in the area of Energy, especially the power line from Mutukula to Mwanza, which will boost supply on that stretch, leading to the development for both Uganda and Tanzania. I also okayed the proposal from the delegates to go ahead and develop a solar generation plant of 20 Megawatts in Nwoya district, near Olwiyo substation. This electricity will be evacuated onto the main grid and there we shall no longer have issues of electricity in that area.

Mama anapiga dili kwa sifa sasa dah hadi kwenye hili
 
Shida ya kuchukua hoja juuu bila kufikiria,,,unafikiri eti umeme utatoka moja kwa moja Ethiopia ndo uje Tanzania,,,jua kwamba Ethiopia wanawauzia umeme Kenya,,hivyo umeme utachukuliwa Kenya mpkani na kuingizwa Tanzania
 
Usalama wa taifa ni mchezo wa watu wenye akili.

Energy security ni priority ya usalama wa taifa.

Hakuna raisi katika historia ya Tanzania aliewabeba TANESCO kama ‘bi-tozo’.

Kwa upuuzi wanaofanya huko, bado wanajeuri ya kumuandikia mikakati ya kijinga na kumfanya anadi ujinga wao.

Udhani ‘bi-tozo’ angekuwa na akili ya biashara au washauri sahihi wa biashara angenadi ujinga wao baada ya kuwabeba kupitiliza.

Only in Tanzania.

My god Samia kalibeba hilo shirika alikutakiwa kuwa hapo, au kuongea ujinga wa kununua umeme.

Timua economic advisors, Ikulu imejaza mapayoyo; that’s the only justification kuruhusu raisi kuongea mambo ya hovyo ivyo baada ya kulibeba shirika,

Duh huyu mama kawabeba TANESCO, jamaa wanandharau sana, the audacity ya kumfanya anadi ujinga wao is beyond me.
 
Ni wizi na kutafuta njia za kuiba tu. Umeme wa kusini mwa Tanzania unakuaje mbali kuliko umeme wa Ethiopia?

Lakini pili kuna bomba la gas toka mtwara kwanini wasipeleke bomba kaskazini la gas halafu Dar wakatumia umeme wa bwawa!?

Ukweli ndugu zangu ni mazingira ya wizi kwa watoto na ndugu wa vigogo kupewa tender za ajabu ajabu ili wanufaishe familia.

Tanzania haitakiwi kununua umeme wakati wana bwawa na bomba ya gas. Yaani ni maajabu na wizi wa wazi. Tutasikia mtu kapewa tender

Mtoto wa Mama Samia ana kampuni ya umeme imepewa kazi huko Uganda sasa wanamtafutia deal hapa hakuna shida ya umeme. Bomba ya gas lingeweza kupelekwa hadi Nairobi na sisi ndiyo tukauza umeme lakini huko njiani wote wana nufaiaka
Nchi hii imejaa Wakina kanjibai
 
Shida ya kuchukua hoja juuu bila kufikiria,,,unafikiri eti umeme utatoka moja kwa moja Ethiopia ndo uje Tanzania,,,jua kwamba Ethiopia wanawauzia umeme Kenya,,hivyo umeme utachukuliwa Kenya mpkani na kuingizwa Tanzania

So what ni kitu kilekile yaani bomba la gas limeishia wapi? Kwani huo wa Ethiopia umefikaje Kenya? Yaani ni station ngapi kutokea hapo Dar au
Morogoro mpaka Moshi? Msituone sisi ni wajinga
 
Tanzania haitakiwi kununua umeme wakati wana bwawa na bomba ya gas.
Wanavyo nani kakwambia Gesi inakuhusu nini wewe wakati Gesi ya mwekezaji anapakua anaenda kuiuza nje, hilo Bwawa walishatia saini kwenye Summit sio lenu tena, mmekaa tu mnakenua tuna Bwawa bladifaken
 
Ni wizi na kutafuta njia za kuiba tu. Umeme wa kusini mwa Tanzania unakuaje mbali kuliko umeme wa Ethiopia?

Lakini pili kuna bomba la gas toka mtwara kwanini wasipeleke bomba kaskazini la gas halafu Dar wakatumia umeme wa bwawa!?

Ukweli ndugu zangu ni mazingira ya wizi kwa watoto na ndugu wa vigogo kupewa tender za ajabu ajabu ili wanufaishe familia.

Tanzania haitakiwi kununua umeme wakati wana bwawa na bomba ya gas. Yaani ni maajabu na wizi wa wazi. Tutasikia mtu kapewa tender

Mtoto wa Mama Samia ana kampuni ya umeme imepewa kazi huko Uganda sasa wanamtafutia deal hapa hakuna shida ya umeme. Bomba ya gas lingeweza kupelekwa hadi Nairobi na sisi ndiyo tukauza umeme lakini huko njiani wote wana nufaiaka
Mlaumu mamako kwa umaskini wako.
 
kwamba umeme uliopo hapa tanganyika hautoshi au?
basi si bora yale majenereta ya kigoma myapeleke huko kaskazini kuongeza nguvu.kuliko kununua umeme.hyo ni dharau
 
Hii michezo ya Tanesco inajulikana toka zama za Msoga empire. Kulikuwa na IPTL na Richmond walichokuwa wanafanya sote tunakijua😂!

Kikubwa ni mtu anatafutiwa ulaji tu humo. Hio Arusha na moshi walikuwa wanatumia nini siku zote kabla ya tamko hilo? Au Makonda alikuwa analala gizani na raia wake?

Kama tatizo ni service lines basi wazikarabati upya ili grid iwafikie. Kuna bwawa nyumba ya Mungu kwanini wasi utilize hilo bwawa😇?
 
Back
Top Bottom