"Manusura" wa ndege ya India hakuwa abiria kwenye hiyo ndege

"Manusura" wa ndege ya India hakuwa abiria kwenye hiyo ndege

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,943
Reaction score
37,839
Hakupanda ndege wala hakuwa abiria kwenye ndege.

Kuna video footage ina trend now inaonyesha angle nyingine kwenye eneo la tukio, inamuonesha jamaa akitembea calmly kutoka ulipo upande ndege ilipo lipukia huku akiongea na simu...

Kuna taarifa zinasema jamaa amekuwa arrested, atoe maelezo vizuri kwamba alipiga pigaje hapo.

Instagram tafuta page inaitwa : Lindaikejiofficialblog

Utaona video hiyo.

Video hapa chini 👇👇👇
 
Anadai ni raia wa uingereza ukisikiliza kiingereza chake sasa wale wa kariakoo wako fluent kuliko yeye. Binafsi nilipata shida sana kumuamini hii habari hasa ukumsikiliza huyu Gabachor
 
Anadai ni raia wa uingereza ukisikiliza kiingereza chake sasa wale wa kariakoo wako fluent kuliko yeye. Binafsi nilipata kuamini hii habari hasa ukumsikiliza huyu Gabachor
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Alisema alikuwa yeye na kaka yake, hata ndugu wakasema wanashukuru Mungu hata kwa huyo aliye baki japo kaka yao hawana tumaini la kumuona tena, wakaonesha hadi ticket na sit no. Aliyokuwa amekaa iweje leo waseme kadanganya
Tayari amekuwa arrested akalisaidie jeshi la polisi la "Jamhuri ya Muungano ya watu wa India"
 
Anadai ni raia wa uingereza ukisikiliza kiingereza chake sasa wale wa kariakoo wako fluent kuliko yeye. Binafsi nilipata kuamini hii habari hasa ukumsikiliza huyu Gabachor
Wahindi wanajifunza kingereza tu kama sisi, anaweza kuwa yuko England ila ndo ivo wana kijiji chao cha wahindi kingereza atakijuaje vizuri
 
Hakupanda ndege wala hakuwa abiria kwenye ndege.

Kuna video footage ina trend now inaonyesha angle nyingine kwenye eneo la tukio, inamuonesha jamaa akitembea calmly kutoka ulipo upande ndege ilipo lipukia huku akiongea na simu...

Kuna taarifa zinasema jamaa amekuwa arrested, atoe maelezo vizuri kwamba alipiga pigaje hapo.

Instagram tafuta page inaitwa : Lindaikejiofficialblog

Utaona video hiyo.
maisha yamekupiga hadi unamuonea wivu manusura wa ndege
 
Ni rahisi kujua ikiwa alikua kwenye ndege au laa kwa kuangalia orodha ya waliokata tiketi
Kama ilikuwa ni tukio la kigaidi Hilo ni suala dogo sana. Inaitwa " Manufactured Alibi"

Hata wewe ukiamua unaweza kupewa siti namba 17 kwenye ndege inayotoka Dar kwenda Mwanza huku ukiwa Uyole Mbeya unapiga tukio la uhalifu
 
usitufanye hatuna akili..huyo jamaa hadi tiketi yake waliipost na jina lake lilikuwemo katika wasafiri

Sikufanyi mjinga, nimeripoti kile ambacho kinaongelewa. Mimi ni messenger. Don't be slow
 
Back
Top Bottom