Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Tafuta kazi ya kufanya
Kuna clearance kuingia kwenye ndege,so bado ni rahisi kujua,asingekuwemo basi siku ileile wangemkanaKama ilikuwa ni tukio la kigaidi Hilo ni suala dogo sana. Inaitwa " Manufactured Alibi"
Hata wewe ukiamua unaweza kupewa siti namba 17 kwenye ndege inayotoka Dar kwenda Mwanza huku ukiwa Uyole Mbeya unapiga tukio la uhalifu
Yani asilimia 100 kabisa,yule abiria hakuwepo kwenye ndegeHakupanda ndege wala hakuwa abiria kwenye ndege.
Kuna video footage ina trend now inaonyesha angle nyingine kwenye eneo la tukio, inamuonesha jamaa akitembea calmly kutoka ulipo upande ndege ilipo lipukia huku akiongea na simu...
Kuna taarifa zinasema jamaa amekuwa arrested, atoe maelezo vizuri kwamba alipiga pigaje hapo.
Instagram tafuta page inaitwa : Lindaikejiofficialblog
Utaona video hiyo.
Kuna clearance kuingia kwenye ndege,so bado ni rahisi kujua,asingekuwemo basi siku ileile wangemkana
Umeshafanya investigationYani asilimia 100 kabisa,yule abiria hakuwepo kwenye ndege
Wewe dili na ushirikina tu,upeo wako mdogoMagaidi wanakuwaga na mtandao mpana sana. Hivyo vyote vinawezekana. Soma vitabu vya ujasusi vya nguli wa vitabu vya ujasusi wa Israel, utaelewa hilo ni suala dogo sana
Mkuu usafiri ndege ni sensitive sana kwa sababu za kiusalama.Magaidi wanakuwaga na mtandao mpana sana. Hivyo vyote vinawezekana. Soma vitabu vya ujasusi vya nguli wa vitabu vya ujasusi wa Israel, utaelewa hilo ni suala dogo sana
Kwamba amepigajepigaje paleHakupanda ndege wala hakuwa abiria kwenye ndege.
Kuna video footage ina trend now inaonyesha angle nyingine kwenye eneo la tukio, inamuonesha jamaa akitembea calmly kutoka ulipo upande ndege ilipo lipukia huku akiongea na simu...
Kuna taarifa zinasema jamaa amekuwa arrested, atoe maelezo vizuri kwamba alipiga pigaje hapo.
Instagram tafuta page inaitwa : Lindaikejiofficialblog
Utaona video hiyo.
Huyo anafikiri ndege ni kama kupanda katarama na abood,analeta ujinga wake hapaMkuu usafiri ndege ni sensitive sana kwa sababu za kiusalama.
Unacheck in na ukakabidhi mizigo yako, pale unapoingia kwenye ndege kuna kipande cha boarding pass unakiacha.
Kabla ndege haijafungwa mlango, wana cross check boarding pass zote kama zinaendana na idadi ya walio check in.
Kama mtu amecheck in na hajaingia kwenye ndege haitoondoka. Itatangazwa mara kadhaa kwenye spika afike kwenye ndege wakati huo mizigo yake inatafutwa na kutolewa kutoka kwenye ndege.
Asipoingia ndani ya ndege mizigo yake itashushwa na ndege itaondoka bila yeye na manifest itaonyesha hivyo kwamba hakupanda ndege. Hii ni sababu za kiusalama asije akacheck in bomu na kusepa. Hilo lilishatokea na watu wakafa ndiyo hiyo sheria ikawekwa - safety rules are written in blood.
Unaloliongea ni gumu sana in practice
Hii Haina come back, lol 😂Wewe dili na ushirikina tu,upeo wako mdogo
Mkuu usafiri ndege ni sensitive sana kwa sababu za kiusalama.
Unacheck in na ukakabidhi mizigo yako, pale unapoingia kwenye ndege kuna kipande cha boarding pass unakiacha.
Kabla ndege haijafungwa mlango, wana cross check boarding pass zote kama zinaendana na idadi ya walio check in.
Kama mtu amecheck in na hajaingia kwenye ndege haitoondoka. Itatangazwa mara kadhaa kwenye spika afike kwenye ndege wakati huo mizigo yake inatafutwa na kutolewa kutoka kwenye ndege.
Asipoingia ndani ya ndege mizigo yake itashushwa na ndege itaondoka bila yeye na manifest itaonyesha hivyo kwamba hakupanda ndege. Hii ni sababu za kiusalama asije akacheck in bomu na kusepa. Hilo lilishatokea na watu wakafa ndiyo hiyo sheria ikawekwa - safety rules are written in blood.
Unaloliongea ni gumu sana in practice
Unaongelea hii?1. Umeitazama hiyo footage lakini?
2. What if it was an inside job?
3. Unafikiri kuna kitu kinashindikana duniani? Wewe unadhani cocaine huwa inasafirishwaje kwenye ndege?
Nenda kasome kitabu : " No mission is impossible; The Death Defying Missions of Israel Special Forces by Michael Bar-zohar and Nissim Mishal, walau upate gist ya kile ninacho kizungumzia