"Manusura" wa ndege ya India hakuwa abiria kwenye hiyo ndege

"Manusura" wa ndege ya India hakuwa abiria kwenye hiyo ndege

Hypersonic upo sahihi kabisa mkuu. Jamaa hakuwepo kwenye ndege period.

And his story doesn't add up.

It takes a very special kind of an idiot to believe his story
 
Anadai ni raia wa uingereza ukisikiliza kiingereza chake sasa wale wa kariakoo wako fluent kuliko yeye. Binafsi nilipata shida sana kumuamini hii habari hasa ukumsikiliza huyu Gabachor
Suala la kiingereza "fluent" ni jingine na suala la uraia ni jingine, hawa wahindi raia wa Tanzania kiswahili chao kinafanana na maeneo wanapoishi au kuzaliwa?
 
Alafu katoka kama ametoka bafuni, mwanzo nilidhani aliruka kabla ndege haijalipuka lkn baada ya kumsikliza nikasikia akidai alijkuta nje baada ya ndege kuanguka, yeye aseme tu alikuwa mpita njia karibu na eneo ndege ilipoangukia
Atafuta kiki za kijinga.
 
Alafu katoka kama ametoka bafuni, mwanzo nilidhani aliruka kabla ndege haijalipuka lkn baada ya kumsikliza nikasikia akidai alijkuta nje baada ya ndege kuanguka, yeye aseme tu alikuwa mpita njia karibu na eneo ndege ilipoangukia
100% Facts
 
BBC WAMETUONYESHA PASSPORT NA TKT YA NDEGE YENYE JINA LAKE NDUGU...
Sasa mbona?

Akihojiwa vizuri atesema au atashindwa kusema nini kilijiri kwenye ndege hizo sekunde 60 kabla ya balaa hilo kutokea.
 
Sasa mbona?

Akihojiwa vizuri atesema au atashindwa kusema nini kilijiri kwenye ndege hizo sekunde 60 kabla ya balaa hilo kutokea.
Aminywe pumbu vizuri atasema kila kitu
 
Magaidi wanakuwaga na mtandao mpana sana. Hivyo vyote vinawezekana. Soma vitabu vya ujasusi vya nguli wa vitabu vya ujasusi wa Israel, utaelewa hilo ni suala dogo sana
Nitumie soft kibinafs nichungulie
 
Back
Top Bottom