Kuna watu wanaishi Uingereza hawajui vizuri kiingereza hasa wahindi.Anadai ni raia wa uingereza ukisikiliza kiingereza chake sasa wale wa kariakoo wako fluent kuliko yeye. Binafsi nilipata shida sana kumuamini hii habari hasa ukumsikiliza huyu Gabachor
Na yupo kwenye Malipo toka Air Indiausitufanye hatuna akili..huyo jamaa hadi tiketi yake waliipost na jina lake lilikuwemo katika wasafiri
Watanzania tumekuwa wa ajabu sana. Vyombo vyote duniani vinaripoti kuhusu huyu aliyenusurika. Anaonekana akipatiwa matibabu.
Amepita check in ambayo siku hizi ina hadi utambuzi wa macho. Bado tunadai hakuwamo kwenye ndege kisa kiingereza chake si kizuri.
Ni kweli inawezekana. Nisichoelewa ni wapi tunapata nguvu ya kusema hakuwemo bila kupepesa macho.Inategemea lakini, labda alifanya tukio la Kigaidi akiwa karibu, akaumia kwa kiwango hicho, think deep sometimes, siamini kama hakuwa abiria, ila pia inawezekana hakuwa
Ni kweli inawezekana. Nisichoelewa ni wapi tunapata nguvu ya kusema hakuwemo bila kupepesa macho.
jamaa anaweza kuifungulia kesi hiyo kampuni na akalipwa na mamilioni ya dolaNa yupo kwenye Malipo toka Air India
Kwa hiyo jina lake na abilia sliyekata ticket ya seat namba 11A kwenda London ni sawa sawa. Wasi tuchanganye hao Wahidi.Kwani ndege hiyo ya Air India haina manifest? Orodha ipo na picha zote ziko airport. Shida nini???
Kwa nini wanapata ugumu kuthibitisha?!
Mleta uzi anatafuta Instagram page trafficKwani ndege hiyo ya Air India haina manifest? Orodha ipo na picha zote ziko airport. Shida nini???
Kwa nini wanapata ugumu kuthibitisha?!
Hii inanikumbusha 2002 kwenye ajali ya treni Dodoma.Hakupanda ndege wala hakuwa abiria kwenye ndege.
Kuna video footage ina trend now inaonyesha angle nyingine kwenye eneo la tukio, inamuonesha jamaa akitembea calmly kutoka ulipo upande ndege ilipo lipukia huku akiongea na simu...
Kuna taarifa zinasema jamaa amekuwa arrested, atoe maelezo vizuri kwamba alipiga pigaje hapo.
Instagram tafuta page inaitwa : Lindaikejiofficialblog
Utaona video hiyo.
Video hapa chini 👇👇👇
Hili jina limekaa kama tusi.