"Manusura" wa ndege ya India hakuwa abiria kwenye hiyo ndege

Unaongelea hii?
View: https://www.instagram.com/reel/DK-XiXato5k/?igsh=YmVuODcwZHBjbjdr

Sasa si iko wazi mwamba alitoka na kutembea? Yani hii video ina kipinkipya ambacho hakijulikani? Au kuna nini umeona?

Ilikuwa ni maelezo pekee. Hatukuwa tumeona real footage.

Kupitia real footage tumeweza kusoma his bod-language and facial expression, that's why tume Kuwa suspicious. Tume sense something fish.

Unless otherwise you tell me you have got a very little and limited understanding about human beings and their psychology
 
Ni wewe ndiyo hukuwa umeona footage. Ilishakuwa public kitambo na wengi tuliotake time kusoma soma taaarifa tuliiona.
 
Footage haikutoka mwanzoni. U have to be honest
 
Camera zote hizo unaziona zinarekodi bado unasema footage haikutoka mwanzoni? Kwani mkuu taarifa wewe unachukulia insta tu?
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
Hakupanda ndege wala hakuwa abiria kwenye ndege.

Kuna video footage ina trend now inaonyesha angle nyingine kwenye eneo la tukio, inamuonesha jamaa akitembea calmly kutoka ulipo upande ndege ilipo lipukia huku akiongea na simu...

Kuna taarifa zinasema jamaa amekuwa arrested, atoe maelezo vizuri kwamba alipiga pigaje hapo.

Instagram tafuta page inaitwa : Lindaikejiofficialblog

Utaona video hiyo.

Video hapa chini 👇👇👇
Wadanganye wajinga wenzako huko,siku hiyo ndungu zake wanahojiwa na wakiwa Airport London wakimsubilia wanahojiwa na BBC na kule India jina lake lilikuwa kwenye Manfesto na hadi London

Wewe nakufahamu mzee wa nadharia za kijinga jinga humu tangu miaka hiyo

USSR
 
Huoni hizo zote pengine zilikuwa ni mbinu za kutengeneza alibi?
 
Hakupanda ndege wala hakuwa abiria kwenye ndege.

Kuna video footage ina trend now inaonyesha angle nyingine kwenye eneo la tukio, inamuonesha jamaa akitembea calmly kutoka ulipo upande ndege ilipo lipukia huku akiongea na simu...

Kuna taarifa zinasema jamaa amekuwa arrested, atoe maelezo vizuri kwamba alipiga pigaje hapo.

Instagram tafuta page inaitwa : Lindaikejiofficialblog

Utaona video hiyo.

Video hapa chini 👇👇👇
Haya mapya sasa
 
Wahindi wanajifunza kingereza tu kama sisi, anaweza kuwa yuko England ila ndo ivo wana kijiji chao cha wahindi kingereza atakijuaje vizuri
Kwa hiyo wana kijiji chao, maduka yao, masoko yao na shule zao. acha hizo bana.
 
Wadanganye wajinga wenzako huko,siku hiyo ndungu zake wanahojiwa na wakiwa Airport London wakimsubilia wanahojiwa na BBC na kule India jina lake lilikuwa kwenye Manfesto na hadi London

Wewe nakufahamu mzee wa nadharia za kijinga jinga humu tangu miaka hiyo

USSR
Kijijini kwenu Ukerewe mtu anaewaza tofauti na wewe ni ujinga ujinga?

Wabongo bana
 
Kama ilikuwa ni tukio la kigaidi Hilo ni suala dogo sana. Inaitwa " Manufactured Alibi"

Hata wewe ukiamua unaweza kupewa siti namba 17 kwenye ndege inayotoka Dar kwenda Mwanza huku ukiwa Uyole Mbeya unapiga tukio la uhalifu
Vipi kuhusu Ile list ya wali check in hapo airport? Kukata tiketi ni Jambo moja na kuingia kwenye ndege ni Jambo la pili
 
Anadai ni raia wa uingereza ukisikiliza kiingereza chake sasa wale wa kariakoo wako fluent kuliko yeye. Binafsi nilipata shida sana kumuamini hii habari hasa ukumsikiliza huyu Gabachor
Kwani huko uingereza watu wote wanajua English siyo?
 
Kwani ndege hiyo ya Air India haina manifest? Orodha ipo na picha zote ziko airport. Shida nini???

Kwa nini wanapata ugumu kuthibitisha?!
Uenda jamaa alijigeuza majerui wa nje ili kulipwa fedha...india njaa sana
 
Back
Top Bottom