Nenda Instagram: LindaikejiofficialblogTuonyeshe na sisi tuone hiyo video
View attachment 3372637
Tayari amekuwa arrested akalisaidie jeshi la polisi la "Jamhuri ya Muungano ya watu wa India"Alisema alikuwa yeye na kaka yake, hata ndugu wakasema wanashukuru Mungu hata kwa huyo aliye baki japo kaka yao hawana tumaini la kumuona tena, wakaonesha hadi ticket na sit no. Aliyokuwa amekaa iweje leo waseme kadanganya
Wahindi wanajifunza kingereza tu kama sisi, anaweza kuwa yuko England ila ndo ivo wana kijiji chao cha wahindi kingereza atakijuaje vizuriAnadai ni raia wa uingereza ukisikiliza kiingereza chake sasa wale wa kariakoo wako fluent kuliko yeye. Binafsi nilipata kuamini hii habari hasa ukumsikiliza huyu Gabachor
Ni mhindi lakini anakaa UingerezaAnadai ni raia wa uingereza ukisikiliza kiingereza chake sasa wale wa kariakoo wako fluent kuliko yeye. Binafsi nilipata kuamini hii habari hasa ukumsikiliza huyu Gabachor
maisha yamekupiga hadi unamuonea wivu manusura wa ndegeHakupanda ndege wala hakuwa abiria kwenye ndege.
Kuna video footage ina trend now inaonyesha angle nyingine kwenye eneo la tukio, inamuonesha jamaa akitembea calmly kutoka ulipo upande ndege ilipo lipukia huku akiongea na simu...
Kuna taarifa zinasema jamaa amekuwa arrested, atoe maelezo vizuri kwamba alipiga pigaje hapo.
Instagram tafuta page inaitwa : Lindaikejiofficialblog
Utaona video hiyo.
Kama ilikuwa ni tukio la kigaidi Hilo ni suala dogo sana. Inaitwa " Manufactured Alibi"Ni rahisi kujua ikiwa alikua kwenye ndege au laa kwa kuangalia orodha ya waliokata tiketi
Hapo unakosea.Anadai ni raia wa uingereza ukisikiliza kiingereza chake sasa wale wa kariakoo wako fluent kuliko yeye. Binafsi nilipata kuamini hii habari hasa ukumsikiliza huyu Gabachor