Unaongelea hii?
View: https://www.instagram.com/reel/DK-XiXato5k/?igsh=YmVuODcwZHBjbjdr
Sasa si iko wazi mwamba alitoka na kutembea? Yani hii video ina kipinkipya ambacho hakijulikani? Au kuna nini umeona?
Ni wewe ndiyo hukuwa umeona footage. Ilishakuwa public kitambo na wengi tuliotake time kusoma soma taaarifa tuliiona.Ilikuwa ni maelezo pekee. Hatukuwa tumeona real footage.
Kupitia real footage tumeweza kusoma his bod-language and facial expression, that's why tume Kuwa suspicious. Tume sense something fish.
Unless otherwise you tell me you have got a very little and limited understanding about human beings and their psychology
Aroo takutumia wito uje ujierezeTayari amekuwa arrested akalisaidie jeshi la polisi la "Jamhuri ya Muungano ya watu wa India"
Camera zote hizo unaziona zinarekodi bado unasema footage haikutoka mwanzoni? Kwani mkuu taarifa wewe unachukulia insta tu?Footage haikutoka mwanzoni. U have to be honest
Wadanganye wajinga wenzako huko,siku hiyo ndungu zake wanahojiwa na wakiwa Airport London wakimsubilia wanahojiwa na BBC na kule India jina lake lilikuwa kwenye Manfesto na hadi LondonHakupanda ndege wala hakuwa abiria kwenye ndege.
Kuna video footage ina trend now inaonyesha angle nyingine kwenye eneo la tukio, inamuonesha jamaa akitembea calmly kutoka ulipo upande ndege ilipo lipukia huku akiongea na simu...
Kuna taarifa zinasema jamaa amekuwa arrested, atoe maelezo vizuri kwamba alipiga pigaje hapo.
Instagram tafuta page inaitwa : Lindaikejiofficialblog
Utaona video hiyo.
Video hapa chini 👇👇👇
Huoni hizo zote pengine zilikuwa ni mbinu za kutengeneza alibi?Wadanganye wajinga wenzako huko,siku hiyo ndungu zake wanahojiwa na wakiwa Airport London wakimsubilia wanahojiwa na BBC na kule India jina lake lilikuwa kwenye Manfesto na hadi London
Wewe nakufahamu mzee wa nadharia za kijinga jinga humu tangu miaka hiyo
USSR
NakaziaHii Haina come back, lol 😂
Haya mapya sasaHakupanda ndege wala hakuwa abiria kwenye ndege.
Kuna video footage ina trend now inaonyesha angle nyingine kwenye eneo la tukio, inamuonesha jamaa akitembea calmly kutoka ulipo upande ndege ilipo lipukia huku akiongea na simu...
Kuna taarifa zinasema jamaa amekuwa arrested, atoe maelezo vizuri kwamba alipiga pigaje hapo.
Instagram tafuta page inaitwa : Lindaikejiofficialblog
Utaona video hiyo.
Video hapa chini 👇👇👇
Kwa hiyo wana kijiji chao, maduka yao, masoko yao na shule zao. acha hizo bana.Wahindi wanajifunza kingereza tu kama sisi, anaweza kuwa yuko England ila ndo ivo wana kijiji chao cha wahindi kingereza atakijuaje vizuri
Ni hizuni....Ile ndege imeondoka na uhai wa watu wengi Sana
Hili jina limekaa kama tusi.
Kijijini kwenu Ukerewe mtu anaewaza tofauti na wewe ni ujinga ujinga?Wadanganye wajinga wenzako huko,siku hiyo ndungu zake wanahojiwa na wakiwa Airport London wakimsubilia wanahojiwa na BBC na kule India jina lake lilikuwa kwenye Manfesto na hadi London
Wewe nakufahamu mzee wa nadharia za kijinga jinga humu tangu miaka hiyo
USSR
Vipi kuhusu Ile list ya wali check in hapo airport? Kukata tiketi ni Jambo moja na kuingia kwenye ndege ni Jambo la piliKama ilikuwa ni tukio la kigaidi Hilo ni suala dogo sana. Inaitwa " Manufactured Alibi"
Hata wewe ukiamua unaweza kupewa siti namba 17 kwenye ndege inayotoka Dar kwenda Mwanza huku ukiwa Uyole Mbeya unapiga tukio la uhalifu
Kwani huko uingereza watu wote wanajua English siyo?Anadai ni raia wa uingereza ukisikiliza kiingereza chake sasa wale wa kariakoo wako fluent kuliko yeye. Binafsi nilipata shida sana kumuamini hii habari hasa ukumsikiliza huyu Gabachor
Uenda jamaa alijigeuza majerui wa nje ili kulipwa fedha...india njaa sanaKwani ndege hiyo ya Air India haina manifest? Orodha ipo na picha zote ziko airport. Shida nini???
Kwa nini wanapata ugumu kuthibitisha?!