Kivipi si najifanya kuangukiwa na ndege eneo la tukio...ila akuwa abiria.Very possible
BBC WAMETUONYESHA PASSPORT NA TKT YA NDEGE YENYE JINA LAKE NDUGU...Kwani ndege hiyo ya Air India haina manifest? Orodha ipo na picha zote ziko airport. Shida nini???
Kwa nini wanapata ugumu kuthibitisha?!
Haponi mtu pale waache uongo100% Facts.
Watu wanasema eti muujiza.
Kwenye sayansi na teknolojia hakunaga muujiza.
Wana sayansi hawaamini katika miujiza
Suala la kiingereza "fluent" ni jingine na suala la uraia ni jingine, hawa wahindi raia wa Tanzania kiswahili chao kinafanana na maeneo wanapoishi au kuzaliwa?Anadai ni raia wa uingereza ukisikiliza kiingereza chake sasa wale wa kariakoo wako fluent kuliko yeye. Binafsi nilipata shida sana kumuamini hii habari hasa ukumsikiliza huyu Gabachor
Alafu katoka kama ametoka bafuni, mwanzo nilidhani aliruka kabla ndege haijalipuka lkn baada ya kumsikliza nikasikia akidai alijkuta nje baada ya ndege kuanguka, yeye aseme tu alikuwa mpita njia karibu na eneo ndege ilipoangukiaHaponi mtu pale waache uongo
Atafuta kiki za kijinga.Alafu katoka kama ametoka bafuni, mwanzo nilidhani aliruka kabla ndege haijalipuka lkn baada ya kumsikliza nikasikia akidai alijkuta nje baada ya ndege kuanguka, yeye aseme tu alikuwa mpita njia karibu na eneo ndege ilipoangukia
100% FactsAlafu katoka kama ametoka bafuni, mwanzo nilidhani aliruka kabla ndege haijalipuka lkn baada ya kumsikliza nikasikia akidai alijkuta nje baada ya ndege kuanguka, yeye aseme tu alikuwa mpita njia karibu na eneo ndege ilipoangukia
Sasa mbona?BBC WAMETUONYESHA PASSPORT NA TKT YA NDEGE YENYE JINA LAKE NDUGU...
Nitumie soft kibinafs nichungulieMagaidi wanakuwaga na mtandao mpana sana. Hivyo vyote vinawezekana. Soma vitabu vya ujasusi vya nguli wa vitabu vya ujasusi wa Israel, utaelewa hilo ni suala dogo sana