kidole cha simba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2022
- 1,994
- 2,510
mimi ata ukinipa billiona kwa mwezi,siendi kufanya kazi arabuni,makatiliMabinti wanaofanya kazi za ndani wanavyonyanyaswa uarabuni.
Mabinti wanaoajiriwa kutoka Afrika Mashariki kwenda kufanya kazi za ndani katika mataifa ya ghuba wanaendelea kulalamikia jinsi wanavyotendewa vitendo vya kinyama kama kuteswa na hata kubakwa na waajiri wao.
Waarabu inaonekana bado wana fikra za kitumwa hata baada ya hiyo biashara haramu kupigwa marufuku na wakoloni karibu karne moja na nusu iliyopita.
Mbona hata Biblia yetu inaruhusu kuua.
Kuwa muarabu sio kuwa Muislamu. Mtu anaeijua dini hawezi mtendea mabaya kiumbe chochote
Hapo ni suala la tafsiri tu na hakumaanishi hicho.Kuijua dini maana yake ni kufata mafundisho ya dini . Sasa mafundishi ya dini katika kitabu kikuu cha dini yameruhusu utumwa na hata kumbaka mwanamke ambaye ni mtumwa wako.
Kuijua dini maana yake nini? Kama yaliyoandikwa katika kitabu cha dini unayapinga hutaki kuyafanya
kwani wanalazimishwa kwenda? si wanakwenda huko huku wakijua kwa kuna manyanyaso?Mabinti wanaofanya kazi za ndani wanavyonyanyaswa uarabuni.
Mabinti wanaoajiriwa kutoka Afrika Mashariki kwenda kufanya kazi za ndani katika mataifa ya ghuba wanaendelea kulalamikia jinsi wanavyotendewa vitendo vya kinyama kama kuteswa na hata kubakwa na waajiri wao.
Waarabu inaonekana bado wana fikra za kitumwa hata baada ya hiyo biashara haramu kupigwa marufuku na wakoloni karibu karne moja na nusu iliyopita.
Kwani kwa mujibu wa kitabu mtumwa aliezungumziwa inatakiwa atoke kwenye mazingira yepi ? Kwasabu hata sisi wabongo hawa ma beki 3 tumewageuza watumwa tunawagonga sana tunawapelekesha sana mishahara midogo sanaa...Kuijua dini maana yake ni kufata mafundisho ya dini . Sasa mafundishi ya dini katika kitabu kikuu cha dini yameruhusu utumwa na hata kumbaka mwanamke ambaye ni mtumwa wako.
Kuijua dini maana yake nini? Kama yaliyoandikwa katika kitabu cha dini unayapinga hutaki kuyafanya
WARANGI overKuna kabila moja iv Tz hujikuta waharabu kinoma mpka mavazi na wapo wengi knoma huko uarbuni
KILA SIKU MNAAMBIWA MSIENDE HUKO HAMKOMI....
ova
Imani ndio ugonjwa mbaya kabisa wa akili kuwahi kuikumba duniaKitabu chao cha dini yao kinaruhusu utumwa. Na kinaruhusu mtu kumbaka mtumwa wake
Hivi lengo la kuwapima hawa wadada wa kazi vvu na magonjwa mengine ya zinaa ni nn?
Kama sio kutaka kuwanyatia usiku ?
Waarabu bado wanafikra za zama za watumwa na ubaguzi,
Especially kwa mtu mweusi.
Chifu,Huko kwa wazungu sheria zao kali thus ni wazungu wachache wenye kumudu kuajiri house girl inatakiwa umkatie Bima ya afya, mshahara wake ulipe kodi,asajaliwe kwenye taasisi zinazowatambua,umlipe mshahara standard.Awajajiriani kiblack market kama afrika na uarabuni.Pili wazungu wengi hawana rundo la ndugu majumbani kama waafrika na waarabu so kwa kutumia mashine zinafanya KILA kitu sio lazima housekeeper
Astaghafilulah.... Waarabu .mnawaandama sana. Hawa hawana makosa kabisa. Ni watu safi sana sio kama hao wazungu wenu ....Mabinti wanaofanya kazi za ndani wanavyonyanyaswa uarabuni.
Mabinti wanaoajiriwa kutoka Afrika Mashariki kwenda kufanya kazi za ndani katika mataifa ya ghuba wanaendelea kulalamikia jinsi wanavyotendewa vitendo vya kinyama kama kuteswa na hata kubakwa na waajiri wao.
Waarabu inaonekana bado wana fikra za kitumwa hata baada ya hiyo biashara haramu kupigwa marufuku na wakoloni karibu karne moja na nusu iliyopita
Why unapotosha vitabu vya watu? Vita ya kidini utaiweza kweli? Maana jamaa wakija hapa na kusema Muhamad alikuwa Mbakaji, Mlawiti hali itachafuka. Si unajua ile habari ya muhamad kuoa mtoto wa miaka 9? Na kumnyonya mate mtoto wa kiume wa dada yake? Watakwambia pia alikuwa mario kwa kuoa mwanamke mkubwa kumzidi tajiri?

Huoni uovu wao kwa kuwa unachoona ni dini waliyokuletea basi utafikiri kabla hawajakuletea hiyo dini mababu zako hawakumjua Mungu. Bure kabisa.Astaghafilulah.... Waarabu .mnawaandama sana. Hawa hawana makosa kabisa. Ni watu safi sana sio kama hao wazungu wenu ....
Acheni kwenda huko kwa hao mbwa.
Waafrika njaa tuitafutie shibe kwingine sio uarabuni. Mwarabu kwake mtu mweusi ni mtumwa pia roho zao ni wanyama kwa mwafrika.Mabinti wanaofanya kazi za ndani wanavyonyanyaswa uarabuni.