Manyara: 8 mbaroni kwa kushangilia kifo cha Magufuli

Tunafurahi kwa Mama kuwa Madam President, haijalishi ni CCM au...
Lakini akianzaa na yeye tutamsema tu na tutamchukia pia........
Mbona hatuna chuki na Mwinyi, Mkapa au Kikwete, kumbuka nimesema "chuki", japo hata wao utendaji wao ulikuwa una matatizo.
 
Hawa nao walishangilia..wenzao walipopata matatizo
Ila wanadamu siye hata km mtu humpendi unashangilia ili iweje?!!!yaani wanadamu bwanaa!!!roho mbaya tu!mfyuu zenu!!!
Your browser is not able to display this video.
 
Hatari
 

Attachments

  • Screenshot_20210320-145255.png
    47.7 KB · Views: 2
Kama Mungu angeyaficha maovu ya mitume mfano paul au manabii tusingekua na cha kujifunza, hata leo uzuri au ubaya wa mtu unapaswa kujulikana ili watu tujifunze.
Ashukuriwe Mungu wa mbinguni kwa kuwa hakuwafcha manabii au wafalme maovu yao ili sisi tupate kupona.
AMINA.
 
Weee alikuwa hapendi weusi eeh?
 
Hao wangewatenganishia shingo na vichwa tu mambo mengine yaendelee! Si kwa kiwango cha kukosa uzalendo wa level hiyo! Wanaachiwa vichwa kwa faida ya nani!
 
Watz wamekuwa watu wa kuropoka tu. Endeleenj, mtavuna mnachopanda.
 
Ila wanadamu siye hata km mtu humpendi unashangilia ili iweje?!!!yaani wanadamu bwanaa!!!roho mbaya tu!mfyuu zenu!!!
watu hawawezi kuwa na roho mbaya bila sababu, jiulize hilo ukipata Jibu rudi tena hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…