Manyara: 8 mbaroni kwa kushangilia kifo cha Magufuli

Manyara: 8 mbaroni kwa kushangilia kifo cha Magufuli

Hakua mpenzi wa kila mtu. Alisitisha ujenzi wa nyumba za council kwakua ndiyo lilikua kimbilio la weusi wahamiaji. Matokeo yake idadi ya wazungu wanao lala barabarani iliongezeka.

Weusi hatulali barabarani, hata kwa Mseralione atakuweka sebuleni mpaka ukae sawa.


That's the true meaning of black life matters and not any thing else.
 
Tanzania tumefika pabaya.

Mtu akifa husemwa kwa mazur yake, mabaya hayasemwi.

Chanzo JF


Hapo ndipo pazuri, mtu akifa husemwa kwa Mazuri yake ili watu tujifuze na tuige hayo mazuri lakini sio vizuri kusema "mabaya" yake japo watu wanaweza kujifunza ili kuepuka hayo "mabaya" lakini huyo marehemu atakayesemwa juu ya hayo "mabaya" kamwe hatopata nafasi ya kurudi ili ajitetee katika tuhuma za hayo "mabaya" yake--- ni hilo tu linalofanya mtu aliyekufa asitajwe kwa "mabaya" yake.
 
Binafsi naona wangeachwa tu, haina haja ya kuwakamata

Hata hapa uchagani watu walishangilia utazani limefungwa goli

Hapa ndio nikajua kwanini wachaga wanakwepwa sana kwenye taasisi za umma, hawa jamaa wanachuki isio kifani ukiwagusa

Kosa alilofanya Magu ni kutaka kuweka usawa wa ajira pale TRA na Bandarini, walipokua wamejazana kikujuana na vyeti feki.
 
Yaani hawa vija wa siku hizi hawafai
Zamani mzee hata kama kamroga mtu kafa lazima aende msibani atalia hata kinafiki ,atakula ugali ,atashika chepe kuzika
...waende jela tu


Umeshasema "zamani" na hao vijana ni wa "sikuhizi"----- unaona hiyo tofauti??
 
Analysis yako haijakaa kiuchumi na kihesabu,ingawa umeandika as if umetimia uchumi kudadavua maono yako. Ila ukweli lazima usemwe kipindi cha Marehwmu Maisha yamekuwa magumu sana-angeendelea kuwepo hadi 2025 watu wengi wangekufa kwa kukosa basic needs.

Hali ambayo ingepelekea Taifa kukosa nguvu kazi na mwisho ni kupungua kwa uzalishaji na uchumi wa Taiga na MTU moja moja.

Jamaa alikuwa na nia ya dhati kabisa ya kuifanya Tanzania Mpya-but approach zake zilikuwa za hovyo,na mbaya zaidi hakutaka ushauri wa MTU yoyote halo iliyopelekea watu wote kwenye upeo kumuona kama MTU asiyekuwa na directions.

Binafsi bado naamini kifo cha Magu,Maalimu,na Kijazi vyote ndani ya mwezi 1 sio sababu ya COVID au Moyo there something beyond that.
Kwa hiyo unataka kusema kuwa kuna watu au mtu kamuua kwa hoja zako hizo ili matakwa yako au yenu watimie? Maana sijakuelewa hata kidogo.
 
Ila wanadamu siye hata km mtu humpendi unashangilia ili iweje?!!!yaani wanadamu bwanaa!!!roho mbaya tu!mfyuu zenu!!!
Ni kukosa ubinadamu. Mtu ameshakufa atajuana na muumba wake hukumu si yetu wanadamu.
 
Hao polisi walikuwa wapi wakati tunamuuguz Lissu Nairobi na Ubelgiji,Wana CCM walikuwa wanashangilia bila kukamatwa?
Uonevu huu watauacha lini hata baada ya Goliath kufa?
 
Jamani, naombeni tushangilie kimoyomoyo tu,Hawa POLISI hawajaelewa kuwa mheshimiwa Samia Suluhu ndiye rais,siyo JPM.
 
Wanaomlilia ni wengi kuliko wanaoshangilia.. Maisha yanaendelea.. Wanaolia walie na wale waliolishwa chuki washangilie. Ila wasishangilie hadharani. kila mchuma janga hula na wa kwao..
 
Basi na waganda watushitaki kwa kumsema vibaya na kumchulia Nduli Idd Amini.

"Idd Amini akifa,mimi siwezi kulia,tutamtupa kagera,awechakula cha mamba".
 
Lkn utaanzaje kushangilia kifo cha mwenzako??
Kisheria sijui but kiheshima tu si vzr kushangilia msiba mana huwezi jua badaye yako.
Mwisho wa siku wote tutakufa tuu ufurahie au uhuzunike kifo ni lazima
 
Watashika watu wangapi? Huku kwetu mtaa mzima ni vifijo na nderemo tupu tangu juzi.

Kipindi hiki TBL wanauza aisee.... usipime!!
Hahaha mtaa upi huo na Mimi nije kushangilia Mkuu
 
Back
Top Bottom