Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Wangewaacha watu waoneshe hisia zao za kweli. Kuna wanaolia vilio vya furaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Walitakiwa walie vilio vya furaha na sio kushangilia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangewaacha watu waoneshe hisia zao za kweli. Kuna wanaolia vilio vya furaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakua mpenzi wa kila mtu. Alisitisha ujenzi wa nyumba za council kwakua ndiyo lilikua kimbilio la weusi wahamiaji. Matokeo yake idadi ya wazungu wanao lala barabarani iliongezeka.
Weusi hatulali barabarani, hata kwa Mseralione atakuweka sebuleni mpaka ukae sawa.
Mbona mlifurahi Lissu akiugulia risasi mlizompiga?Ila wanadamu siye hata km mtu humpendi unashangilia ili iweje?!!!yaani wanadamu bwanaa!!!roho mbaya tu!mfyuu zenu!!!
Sijawahi kujutia imani yangu
Tanzania tumefika pabaya.
Mtu akifa husemwa kwa mazur yake, mabaya hayasemwi.
Chanzo JF
Yaani hawa vija wa siku hizi hawafai
Zamani mzee hata kama kamroga mtu kafa lazima aende msibani atalia hata kinafiki ,atakula ugali ,atashika chepe kuzika
...waende jela tu
Kwa hiyo unataka kusema kuwa kuna watu au mtu kamuua kwa hoja zako hizo ili matakwa yako au yenu watimie? Maana sijakuelewa hata kidogo.Analysis yako haijakaa kiuchumi na kihesabu,ingawa umeandika as if umetimia uchumi kudadavua maono yako. Ila ukweli lazima usemwe kipindi cha Marehwmu Maisha yamekuwa magumu sana-angeendelea kuwepo hadi 2025 watu wengi wangekufa kwa kukosa basic needs.
Hali ambayo ingepelekea Taifa kukosa nguvu kazi na mwisho ni kupungua kwa uzalishaji na uchumi wa Taiga na MTU moja moja.
Jamaa alikuwa na nia ya dhati kabisa ya kuifanya Tanzania Mpya-but approach zake zilikuwa za hovyo,na mbaya zaidi hakutaka ushauri wa MTU yoyote halo iliyopelekea watu wote kwenye upeo kumuona kama MTU asiyekuwa na directions.
Binafsi bado naamini kifo cha Magu,Maalimu,na Kijazi vyote ndani ya mwezi 1 sio sababu ya COVID au Moyo there something beyond that.
Ni kukosa ubinadamu. Mtu ameshakufa atajuana na muumba wake hukumu si yetu wanadamu.Ila wanadamu siye hata km mtu humpendi unashangilia ili iweje?!!!yaani wanadamu bwanaa!!!roho mbaya tu!mfyuu zenu!!!
Hahaha hahaha. Kula 5Jamani, naombeni tushangilie kimoyomoyo tu,Hawa POLISI hawajaelewa kuwa mheshimiwa Samia Suluhu ndiye rais,siyo JPM.
Mwisho wa siku wote tutakufa tuu ufurahie au uhuzunike kifo ni lazimaLkn utaanzaje kushangilia kifo cha mwenzako??
Kisheria sijui but kiheshima tu si vzr kushangilia msiba mana huwezi jua badaye yako.
Hahaha mtaa upi huo na Mimi nije kushangilia MkuuWatashika watu wangapi? Huku kwetu mtaa mzima ni vifijo na nderemo tupu tangu juzi.
Kipindi hiki TBL wanauza aisee.... usipime!!