Manyara: DC mstaafu amshushia kipigo mkewe, nyumba ndogo yatajwa kuwa chanzo

Kwanini mke asiende Mahakamani kuomba talaka na mgawanyo wa machumo? Kuendelea kubaki kwenye ndoa ya aina hiyo(kama alichosema mke ni kweli) ni kutafuta makubwa zaidi.
wanawake wengi waoga wa kuachika plus ujiko kuwa mimi mke wa DC japo vipigo kila siku huko vijijini DC ni mtu mkubwa sana hata kama amestaafu bado anaendelea kuwa mungu mtu
 
sukari ya Scolla Mollel imezidi ya Philomena.
 
Kazi kweli kweli

There's a reason behind zaidi haya maelezo haiiingii akilini Mtu atoke huko alipo aanze kukupiga tu ,


Hata hivyo nakemea vikali kitendo cha huyo DC kumpiga mkewe Ni kitendo cha kinyama kilicho kosa utu
 
"Nami sasa nahangaika na li kijana linataka kuvuruga ndoa ya lenyewe kisa mamake analijaza ujinga! Limeshindwa kuelewa wamama huwa wanaumia sana vijana wao wakioa!!
KWA NINI WAMAMA WANAUMIA PINDI VIJANA WAO WAKIOA?
 
Siyo kila ukivaa Shela unaita ndoa,Nyingine ni Ndoano.
 
Scola aache kumpa mstaafu kinyeo mpaka anawehuka.
 
Uyo mwanamke anaonekana ana mdomo Sana.

Itakua mdomo uliponza kichwa
 
Ningepata picha ya close-up ya huyo mwanamke wa ndoa. Anaonekana mkorofi kwa sura ila hastahili kufanyiwa

Ukimtizama kwa karibu huyu mke wa jamaa... Ni mke mkorofi,mjeuri na mwenye kiburi. Ila bado hastahili kupigwa au kufanyiwa alivyofanyiwa.
Ni kweli, kuna mambo hayajawekwa wazi inawezekana huyo mama ni tatizo, halafu hii ni mara ya pili kama sikosei inshu ya ugomvi wao inaletwa humu
 
Unamng'ang'ania kwani ni ndugu yako?si uondoke tu utakuja kufa tu
 
... hii stori ya muda sana hii!
 
Ni kweli, kuna mambo hayajawekwa wazi inawezekana huyo mama ni tatizo, halafu hii ni mara ya pili kama sikosei inshu ya ugomvi wao inaletwa humu
Anayeleta anaweza kuwa ndo mama mwenyewe.naye tumwambie aache kiburi. Ataumizwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…