pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 6,524
- 4,928
Viongozi wa DARUSO walipatikana kupitia vyama vya kikabila. Ndo miaka hiyo marais walitoka kanda ya ziwa na nyanda za juu kusini tuVilikuwa na madhara gani ?
Viongozi wa DARUSO walipatikana kupitia vyama vya kikabila. Ndo miaka hiyo marais walitoka kanda ya ziwa na nyanda za juu kusini tuVilikuwa na madhara gani ?
Wachaga kama waislamu, kila kitu tunaonewa
HahaaaaaAfute hadi vikao vya familia.
Kwa mpumbavu kama wewe tena watu wasiojitambua lazima utasema hivyo kwani hujui maana ya vyama hivi. Kwa faida ya wajinga kama wewe vyama hivi vina manafaa makubwa kwa wahusika kma ifuatavyo;RC yupo sahihi ni kuleta ukabila tu na ubaguzi , futa kabisa huo upuuzi
Ni ile majigambo kwamba wameendelea sana! Kumbe Mwamposa akipita, anawakusanya!Yaani Moshi wandhani kila wakati wanaonewa sana! Mbona alipiga marufuku vikundi vya Mara na hatukusikia kelele kama ninyi? Au ndo munatafuta ushujaa kuliko wengine!
Wachaga wewe binafsi wamekukosea nini ?Ni ile majigambo kwamba wameendelea sana! Kumbe Mwamposa akipita, anawakusanya!
Kama athali zimeanza leo lazima wapigwe!RC wa Manyara, Alexander Mnyeti amefuta kikundi cha watu wa Kilimanjaro waishio Manyara. Wiki chache zilizopita alikifuta kikundi cha watu wa mkoa wa Mara waishio Manyara. Amesema ataendelea kuvifuta vikundi/vyama vyote vya watu kutoka mikoa mingine waishio Manyara kwa sababu havina faida kwa mkoa huo na vinaendekeza ukabila. Ameshauri viundwe vikundi vya jamii za watu wa Manyara kama Wairaq, Wafyomi, Wamassai etc.
Swali : Kwa kadri ya kumbukumbu ya mwanaJF unayesoma uzi huu , vikundi kama hivi vya kuzikana viliwahi kuleta madhara yoyote mahali popote ?
MAONI YA WADAU
View attachment 1283640
Ukipata tatizo ndio utajua umuhimu wa hivi vikundi , Ndio watu wasaidiane kama jamii, jiulize nan atakusaidia tu halafu likitokea kwake wewe hauonekani? Kwa dunia ya kileo hakuna mtu anaetoa kitu bila kufikiri mara mbili mbili.Hata mimi sivipendi vikundi hivyo,vifutwe tu,kama kukitokea tatizo wote tusaidiana kama jamii.Ila anaji-contradict kwa kuruhusu uanzishwaji wa vikudi vya makabila ya mkoa wa Manyara,mbona navyo ni vya kikabila?Asiruhusu vyote.Mimi huwa sipendi pia vikundi vya kufa na kuzikana,napenda tatizo likitokea tusaidiene wote kama jamii.
Unajua mkuu,unachokiri ndicho kinachotokea.Faith makes the unreal real.Hii ina maana kwamba unakula matunda ya maneno,mdomo,ukiri wako au imani yako,so you are a product of what you believe in.Sasa ukishajiunga na vikundi hivyo,you are infact admitting that problems will happen,and so you are creating problems.Ukipata tatizo ndio utajua umuhimu wa hivi vikundi , Ndio watu wasaidiane kama jamii, jiulize nan atakusaidia tu halafu likitokea kwake wewe hauonekani? Kwa dunia ya kileo hakuna mtu anaetoa kitu bila kufikiri mara mbili mbili.
Hili swali linahitaji majibuWamewahi kuhamisha mradi wowote wa maendeleo ya Manyara na kuupeleka Kilimanjaro ?
🤣Jiwe anawapenda sana hawa ma RC na ma DC vichwa maji, na sijui huwa anawatoa wapi. Au ndio ndege wenye manyonya....