hjayhals
JF-Expert Member
- Feb 13, 2013
- 768
- 561
Ila wakati mwingine hawashiriki misiba ya wengine, wakitegemea uvyama wao.
Kushiriki misiba ni jambo la hiyari.
Ila wakati mwingine hawashiriki misiba ya wengine, wakitegemea uvyama wao.
Hapo Mkuu wa Mkoa wa Manyara, yuko sahihi. Hawa watu wa mkoa huo tajwa wana ubinafsi sana.
Mwaka 2007, Prof. Rwekaza Simpho Mukandala, alifuta vyama kama hivi UDSM. Miongoni mwa vyama hivyo ni KAGERA UNIVERSITY STUDENTS ASSOCIATION (KAUSA) kilikuwa kikubwa mno nami nilikuwa kiongozi.
Hoja ni kupiga marufuku vikundi au kufukuza watu wa mikoa mingine?Hii ilikuwa funika kombe waliokusudiwa wanajulikana. Wachaga wapo Manyara tangu Enzi ya Mkoloni. Leo hii Millenial anawafuta.
Vyote.Vikundi Vikundi kuna mtu asiye na Kwao? Mbona hata wenye Kwao Shereh za kitaifa wanaongea kikwao. Ulimuona Shibuda sherehe ya Uhuru? Aliongea kikwao mwanzo Hadi mwisho wakati Lugha ya taifa Kiswahili.Hoja ni kupiga marufuku vikundi au kufukuza watu wa mikoa mingine?
Hapa ni moshi vijijin piaHilo ni moja tu,na liko barabarani ukipita tu unaliona, sasa ingia mtaani ukutane na majumba utahara damu ya wivu.
Inasemekana hata kwenye msamaha wa wafungwa wametengwaNchi tunaenda wapi. Kwa nini watu was Kilimanjaro tu?
Viliathiri mpaka na mfumo wa upatikanaji wa viongozi chuoni; ilikuwa tunaunganisha vyama vyote vya mikoa ya kanda ya ziwa, tulihakikisha raisi wa daruso, waziri mkuu, makamu wa raisi na wengine lazima watoke kanda ya ziwa. Umoja wowote ambao unakuwa dhidi ya maslahi ya wengine si mzuri hata kidogo.Naikumbuka hii, kwa kweli alifanya la maana Sana,ilifika kipindi utakuta kuna kikundi Cha watu wanazungumza kilugha hata kwenye shuttle. Mbaya zaidi zile common Room zilikuwa haziishi vikao hivyo vya kipumbavu vya Kikanda/kimkoa au kikabila
Jambo la kwanza tulihakikisha top positions zote za DARURO hazichukuliwi na kanda nyingine. Tuliunganisha vyama vya mikoa ya kanda ya ziwa; nadhani haikuwa njema sana kwa mstakabali wa taifa. Tabaka la wasomi vijana wanapojengeka katika fikra za ukanda dhidi ya kanda nyingine ni hatari. Kila kanda ilianza kujitazama dhidi ya nyingine. Athari za mambo haya ni kubwa baadaye.Vilikuwa na madhara gani ?
Mngeandika haya alipokatata chama cha watu wa Mara pale mererani leo pengine asinge amua haya; ila kwakuwa lilipotokea kwa watu wa Mara mliona sawa tuu, twende hivyo hivyo.Sifa ya kuwa RC ni kujua kusoma na kuandika yaani uwe Literate. Hata ukienda Ulaya au Marekani kuna Community ya watu wa mataifa ya kigeni wanaoishi huko, that's common.
Hawa akina Mnyeti ni opportunists tu waliyolewa madaraka wakifikiri ukuu wa mkoa ni ajira za kudumu.
Huyu bwana ni moja ya watawala bogus wasio na sifa ya kuwa viongozi mpaka wateuliwe tu na mamlaka za uteuzi na kibaya zaidi na wenyewe kwa fadhila zile zile za ukabila. Bure sana.
Kupiga marufuku kikundi na kufuta kikundi ni vitu viwili tofauti. Unapiga marufuku kikundi ambacho hakiko registered kisheria, ila unafuta kikundi kile ambacho kina legal registration. Kama amefuta vikundi anaweza akawa hayuko sahihi sana kwa sababu nadhani mamlaka hayo kisheria hana, ila kama amepiga marufuku, atakuwa yuko sahihi 100%, iwapo tu marufuku hiyo haihusu vikundi kwa ajili ya kusaidiana kwenye majanga/ matatizo kama vile misibaNchi tunaenda wapi. Kwa nini watu was Kilimanjaro tu?
Ila wakati mwingine hawashiriki misiba ya wengine, wakitegemea uvyama wao.