Manyara: RC Munyeti apiga marufuku umoja wa watu wa Kilimanjaro mkoani kwake

Manyara: RC Munyeti apiga marufuku umoja wa watu wa Kilimanjaro mkoani kwake

Wachaga Mungu kesha wapa majibu Mitandao yenu mliyojenga miaka ya kuonea makabila mengine kwenye ajira,tenda,vyeo na fursa Mungu kamtumia Magufuli kuwapa majibu yenu.Uovu wenu umepatiwa majawabu
Watadumu Milele? Kila kitu kina mwanzo na mwisho.Chuki mbaya Sana. Watapita Ila Wachaga watakuwepo Hadi Yesu atakaporudi. Chuki na Husda dhidi ya Wachaga zimewappfusha. Umoja mbona Siku hizi siyo lazima technology inatosha. Labda wafungiwe na mitamdao.
Na bado mtazidi kubaki maskini kwa akili hizi mfu, kilimanjaro inazidi kupaa tu kimaendeleo
Ona vijiji vya kilimanjaro utadhani upo uholanziView attachment 1283677
Hureeeeeeeeheeeee Blessed Region inayowatoa Roho na utu wenye Husdaaa. Vijiji Bora kabisa Tanzania. Yaani kila Social Service ipo anzia ya Makanisa, misikiti na Serikali.
 
Naunga mkono vifutwe, huo ni kutuletea ukanda na ukabila. Haufai kufanya na viongozi na hata sisi wananchi
 
Vikundi vya namna hiyo vinawafaa waishio nchi za kigeni, ili kusaidiana pindi wawapo huko. Ila ukiwa nyumbani nchini kwako wote ni watanzania, na sijawahi ona watanzania wanashindwa kumsaidia mtu eti kutokana na kabila. By the way hivi vikundi Mimi huwa sivipendi kwani vinachochea ubaguzi
 
Erythrocyte,
RC yupo sahihi umoja wa utambulisho wa kikabila sio mzuri. Hata kama hujaleta madhara Leo lkn huwezi kujua kesho kitatokea nini. Na vipi watanzania wasio na makabila makubwa? Kwa mfano kama wamatumbi au wasagala.?
 
lakini RC ameruhusu vikundi vya makabila ya mkoa wake , hilo unalichukuliaje ?
 
Vikundi vya namna hiyo vinawafaa waishio nchi za kigeni, ili kusaidiana pindi wawapo huko. Ila ukiwa nyumbani nchini kwako wote ni watanzania, na sijawahi ona watanzania wanashindwa kumsaidia mtu eti kutokana na kabila. By the way hivi vikundi Mimi huwa sivipendi kwani vinachochea ubaguzi
Viliwahi kumbagua nani ?
 
Looooooooh, Mungu wangu mbona hali inatisha...kwa hiyo hata kuzika Watu wa Kilimanjaro hawaruhusiwi tena Kuzika Manyara, au siyo?
Ndio maana yake kwanini mnatuzidi hivi kwenye biashara kanisani kwenye Silas’s kwenye elimu sasa sisi wengine time akiwa na tigo za chili tu MUNGU WETU NI MWA ATATUPA UPENYE WATASHANGAA....yaaani Kosa ni bidii ya kz na wacha Mungu Hili ni Tqifa teule Tanzania....Waacheni tu Mungu ana kusudi lake mara mnaibukia IKULU Kuokoa nchi
 
Mimi nawashauri Wachaga namna ya kudeal na watu wajinga ni rahisi sana, wabadili jina la chama chao mfano wanaweza kujiita Hapa kazi tu group, then wafanye amendment ya katiba, waondowe kipengere cha Kilimanjaro then case closed, chama kitaendelea na malengo yaleyale ya awali na wanachama wake ni walewale.

Nawafahamu watu wazito ndani ya jeshi la Polisi ambao ni wachaga walibadirisha majina yao miaka mingi sana kwani chuki dhidi ya wachaga ipo tangu enzi za Nyerere, ukiwasaka kwa majina huwapati ng'ooo, mfano hai huyu Misiime ni mchaga wa Marangu.

Mfano mwanafunzi mchaga kilimanjaro akipata wastani wa 80% na mmakonde wa Lindi akapata 55% wakati ule alikuwa anachukuliwa huyu wa Lindi kwa kisingio cha kubalance elimu eti hawa wachaga wengi wamesoma.
 
Mchungaji Kimaro wa Kijitonyama huwa anaingiza uchaga sana hata kwenye mahubiri yake.
 
Hivyo vyama huwa vipo tu kienyeji lakini huwa havina usajiri kokote na wowote.
Ni vyama vya hiyari, havina madhara yoyote.
Watu hawawezi kukataa asili yao.
Hata nje ya nchi watanzania huungana kwa utanzania wao, vipo vyama vya madhehebu na makabila pia.
Sijawahi kuona athari na hatari ya vyama hivi kamwe.
 
Back
Top Bottom